CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Kwanza wapi kuna ajira au kujiajiri HGL na HGK? Hakuna chama cha HGL na HGK

Hao hao una wa judge kwa combination, mwishowe wanakuwa law man / woman, ndio wameonyesha msimamo update
Professionals ambao hawaja jipendekeza kwa mamlaka . Wame stick to their ethics

No offence but Hivyo vyama ambavyo vinamnunulia rais helicopter, vina mlipia mgombea fomu ya kugombea urais? Seriously
 
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😄
Mashine ya umbea unahangaika sana na Chadema hebu kapumzike kidogo
 
Attachments

  • FB_IMG_1737555749105~2.jpg
    FB_IMG_1737555749105~2.jpg
    30.1 KB · Views: 2
Hata mi ninavyoona ni kama vile hiki chama kinaenda kutekwa na TLC
 
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😄
Wewe mnyalu, uwe unajisomea kukuza uelewa wako. Dunia nzima hasa dunia iliyoendelea hasa Western, kwa nini wameendelea kiutawala? Ni kwa sababu ya kua Lawyers wengi ndiyo wanatawala nchi na sehemu nyeti za serikali na Taasisi za umma na zisizo za umma. Ndiyo maana unaona watu wako bright, na Maendeleo yapo, na wako wako reasonable.

Sijasomea sheria lakini hili nalijua
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Kaka tuheshimiane sisi sio vilaza tulikuwa na ndoto kwenye masomo hayo.
 
Ht shuleni wanafunzi wa HGL ni vilaza kazi yako ubishi. Sheria nayo ni fani? Wanasheria wanazalisha nini zaidi ya migogoro? Ni watu wenye IQ ndg sana. Wape ht hesabu ya darasa la 4. Wana igoism za kipuuzi, arrogance wakati ni maskini na hawana wanachozalishia nchi zaidi ya migogoro. Hyo fani ya wanawake malaya
Maneno makali sana hayastahili sheria za nchi hii ni zao la wanasheria dharau kuona fani flani bora kuliko nyingine haifai
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Not true. Hili ni kwetu yaani Tanzania. Ukienda nchi nyingine mwanafunzi anachagua masomo kutokana na interest na kuyaweza siyo kwa sifa. Kule utashangaa mtu HGL au huyo HKL ni kipanga hasa, siyo hapa mtu anyechukua kombi hizi ati kilaza. Hapa. Usichanganye.

Mimi sayansi lakini najilaumu sana kwa sababu kwa Tanzania ni kupoteza muda
 
Ngoja twende nao kwanza hawa mawakili wasomi kuna kitu tumekiona kwao tuna imani nao kuna sehemu watatufikisha baada ya hapo wengine watapokea vijiti au we unaonaje mkuu?
 
Kwani wingi wa wachawi CCM umekifanya CCM kuwa tawi la vyama vya kichawi
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Umemjibu vizuri, Kuna organization nyingi tanzania za vipamba unfortunately siyo wapiga kelele na harakati kama TLS
 
Umeandika vizuri saaaana, ila umekosea saaaana Heading.

Ilitakiwa useme TLS iingalie isiwe tawi la CHADEMA, maana imetoa marais wawili.

Ungekuwa umesoma philosophy ,hapo inahusiana na LOGIC, so kwa kichwa Cha habari logic inakataa 🤣🤣🤣.

Ni sawasawa na Kilikuu ibebe KATAPILA 🤣🤣😅🤣😅 ,

Ila katapila inaweza kubeba Kilikuu.CHADEMA ni kubwa kuliko TLS.

unapojenga hoja tengeneza mantiki, post Yako ni MATUMIZI MABAYA YA BUNDLE NA AKILI 🤔🤔🤔🚴🚴🤣😅🤣😅
Tanganyika Law Society iko kabla ya Uhuru

Happy New Year 😄
 
Eti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
Mtu kapita Havard mara mbili unamuita kilaza? Kweli hii nchi CCM ina mtaji mkubwa sana kwakweli, aisee nimecheka sana 😃
 
Not true. Hili ni kwetu yaani Tanzania. Ukienda nchi nyingine mwanafunzi anachagua masomo kutokana na interest na kuyaweza siyo kwa sifa. Kule utashangaa mtu HGL au huyo HKL ni kipanga hasa, siyo hapa mtu anyechukua kombi hizi ati kilaza. Hapa. Usichanganye.

Mimi sayansi lakini najilaumu sana kwa sababu kwa Tanzania ni kupoteza muda
Upo sawa kwa Developed world,
Ila kwa hapa ni vilaza tupu..
Again Sayansi sio kupoteza muda endelea kupambana
 
Back
Top Bottom