Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni.
Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende bungeni kule atakuwa na jukwaa kubwa zaidi la kutetea nchi kwa maslahi ya taifa! Wakienda hao bungeni mambo yatakuwa sawa, watafute mgombea yeyote wa urais lakini sio wao.