Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkurugenzi wa mawasiliano na uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia amezungumza na watanzania na kutoa pole kwa niaba ya chama na wametangaza maombelezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote.
Nchi yetu ilishuhudia maandamano ya amani yalifanywa na wananchi yalikuwa yanihitaji haki, na uwajibikaji wa viongozi wao lakini kwa bahati mbaya sana maandamano haya yamekubwa na vitendo vya ukatili visivyo elezeka mauwaji ya raia na majeruhi walikoswa kuuwawa na askari wa Jeshi la polisi
Bendera za CHADEMA zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo tarehe 05 Novemba 2025 mpaka tarehe 11 Novemba 2025 kuomboleza vifo vya raia waliouawa katika maandamano mwezi Oktoba mwaka huu.