Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waliouawa ni watz wenzetu, ukiwa chawa kwann unakuwa pia huna akili...chunga utaolewa kijana!.Wanatangaza maombolezo kwani waliokuwa wanaandamana si ni Gen Z, au wanachama wao? Watajitokeza taratibu ni suala la muda tu.
Sina utaratibu wakuonea huruma mtu mpumbavu. Nawewe ukisikia maandamano yaliyozuiliwa toka na mawe yako ukazuie risasi ya moto.Waliouawa ni watz wenzetu, ukiwa chawa kwann unakuwa pia huna akili...chunga utaolewa kijana!.