CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema

Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua

Mungu ni mwema wakati wote
 
Kwani bendera ndiyo zinapiga kura?

Hali ngumu ya maisha mitaani ni bendera tosha tena za chuma wala haihitajiki bendera za pamba.
 
Bendera zikiwekwa mnazishusha, zisipokuwepo mnazikimbuka, vichwa vyenu huko lumu.ba ni vya kupeleka kwa mkemia mkuu avichunguze huwa mnatumia mihadarati gani.
 
No Katiba mpya, no UCHAGUZI wowote,

No Tume huru ya Uchaguzi, No UCHAGUZI wowote.

Ameeeen.
 
Bendera zikiwekwa mnazishusha, zisipokuwepo mnazikimbuka, vichwa vyenu huko lumu.ba ni vya kupeleka kwa mkemia mkuu avichunguze huwa mnatumia mihadarati gani.
Mbona za CUF zipo?
 
Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema

Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua

Mungu ni mwema wakati wote
Usiwe na haraka acha muda ufike,ila tunakumbuka katiba mpya na tume huru wanaiihitaji kuliko huo uchaguzi wenyewe πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…