zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio inaruhusu ila waminyaji wanazui sheria usifanye kaziIla Chadema bhana 😂 ety walifata sheria kufanya hayo maandamano, yani maandamano yamekatazwa afu sa h mnakuja kusema mlifata sheria 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio inaruhusu ila waminyaji wanazui sheria usifanye kaziIla Chadema bhana 😂 ety walifata sheria kufanya hayo maandamano, yani maandamano yamekatazwa afu sa h mnakuja kusema mlifata sheria 😂
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa mbaroni na Jeshi La Polisi katika nyakati tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam.
Kwenye tamko lao lililochapishwa kupitia mtandao wa X, CHADEMA walidokeza kuwa polisi walitumia nguvu nyingi sana kudhibiti maandamano hayo yalikuwa na lengo la kupaza sauti kuhusu uchunguzi wa baadhi ya watu waliotekwa na kuuwawa.
READ ALSO: Maandamano Ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Aidha CHADEMA, imelitaka Jeshi la Polisi kuheshimu haki zote za waliokamatwa na kuwatendea kama watu ambao sio wahalifu kwa wakati wote wa kushikiliwa kwao.
Wewe mzee ni punguani.Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chama🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Naona sasa wamekuwa wapole sasa! Chezea Dola wewe!!Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa mbaroni na Jeshi La Polisi katika nyakati tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam.
Kwenye tamko lao lililochapishwa kupitia mtandao wa X, CHADEMA walidokeza kuwa polisi walitumia nguvu nyingi sana kudhibiti maandamano hayo yalikuwa na lengo la kupaza sauti kuhusu uchunguzi wa baadhi ya watu waliotekwa na kuuwawa.
READ ALSO: Maandamano Ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Aidha CHADEMA, imelitaka Jeshi la Polisi kuheshimu haki zote za waliokamatwa na kuwatendea kama watu ambao sio wahalifu kwa wakati wote wa kushikiliwa kwao.
Haqa qachaga ni wavunjigu qa amani.
Wanatafuta pesa za CDU kwa kuvunja amani ili waonewe huruma.
Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chama🙆♂️🙆♂Akili kisoda
Hawelewani Mkuu, Mkurugenzi anamfunika KM wa chama ila si kwa kuwa Mnyika hawezi la hashaIna maana mkurugenzi wa itifaki na KM hawakushiriki maandamano walliwasaliti viongozi wakuuu?
Mkuu mbona hukuonekana kwenye maandamano uchwara??When fools are in power(control), everyone is at risk.
Wewe mzee ni punguani.
Huyu Salary Slip ni wale jasiri hewa ndio maana wanatumia majina bandiaMkuu mbona hukuonekana kwenye maandamano uchwara??
Walikuwa wanatafuta AIR TIME! Wameipata kwa ghartama kubwa sana!Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa mbaroni na Jeshi La Polisi katika nyakati tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam.
Kwenye tamko lao lililochapishwa kupitia mtandao wa X, CHADEMA walidokeza kuwa polisi walitumia nguvu nyingi sana kudhibiti maandamano hayo yalikuwa na lengo la kupaza sauti kuhusu uchunguzi wa baadhi ya watu waliotekwa na kuuwawa.
READ ALSO: Maandamano Ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Aidha CHADEMA, imelitaka Jeshi la Polisi kuheshimu haki zote za waliokamatwa na kuwatendea kama watu ambao sio wahalifu kwa wakati wote wa kushikiliwa kwao.
Hakuna anaekera kama Lema , anakesha mitandaoni kutukana watu kuwa ni wapoumbavu , ila naamini iko siku akili zitamrejea tuNaona sasa wamekuwa wapole sasa! Chezea Dola wewe!!
Weka akiba ya maneno Yako.Tena walitakiwa wale virungu vya maana kwenye viwiko.
Wacha walale selo.
Utahila ni ugojwa mbaya sana yaani jitu fukara kuliko mafukara wote ndio linalo kebehe juhudi za wanao jaribu kuliokowa kutoka metekani mwa majambazi ccm.Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chama🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa mbaroni na Jeshi La Polisi katika nyakati tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam.
Kwenye tamko lao lililochapishwa kupitia mtandao wa X, CHADEMA walidokeza kuwa polisi walitumia nguvu nyingi sana kudhibiti maandamano hayo yalikuwa na lengo la kupaza sauti kuhusu uchunguzi wa baadhi ya watu waliotekwa na kuuwawa.
READ ALSO: Maandamano Ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Aidha CHADEMA, imelitaka Jeshi la Polisi kuheshimu haki zote za waliokamatwa na kuwatendea kama watu ambao sio wahalifu kwa wakati wote wa kushikiliwa kwao.
Mliruhusiwa kufanya maandamano?Ndio inaruhusu ila waminyaji wanazui sheria usifanye kazi
Kwa ujinga mlionao ni bora mpigwe mge tu kwani hakuna mnalobarisha zaidi ya kutupigia kelele tu kila kukichaWashwaaa tuuu
Kubwa jinga lao Huna hata hojaaaa
Wivuu na mawazo ya kimasikini zimekukaaa,jinga lao uchaa tuu na ukungunu umekuaaa
Enzi hizi ukabila umekukaaaa ovyoo