CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

Ila Chadema bhana πŸ˜‚ ety walifata sheria kufanya hayo maandamano, yani maandamano yamekatazwa afu sa h mnakuja kusema mlifata sheria πŸ˜‚
Ndio inaruhusu ila waminyaji wanazui sheria usifanye kazi
 
Ina maana mkurugenzi wa itifaki na KM hawakushiriki maandamano walliwasaliti viongozi wakuuu?
 
Haqa qachaga ni wavunjigu qa amani.

Wanatafuta pesa za CDU kwa kuvunja amani ili waonewe huruma.
 
 

Attachments

  • VID-20240923-WA0037.mp4
    4.5 MB
Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chamaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Wewe mzee ni punguani.
 
Naona sasa wamekuwa wapole sasa! Chezea Dola wewe!!
 
Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chamaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚Akili kisoda
 
Ha
Ina maana mkurugenzi wa itifaki na KM hawakushiriki maandamano walliwasaliti viongozi wakuuu?
Hawelewani Mkuu, Mkurugenzi anamfunika KM wa chama ila si kwa kuwa Mnyika hawezi la hasha
 
Walikuwa wanatafuta AIR TIME! Wameipata kwa ghartama kubwa sana!
 
Naona sasa wamekuwa wapole sasa! Chezea Dola wewe!!
Hakuna anaekera kama Lema , anakesha mitandaoni kutukana watu kuwa ni wapoumbavu , ila naamini iko siku akili zitamrejea tu
 
Ukabila kazi kweli kweli haya matamko yanastahili kutolewa na Bwana Mnyika ila kwa kuwa hana vinasaba na mzee Mbowe ,Mrema ndio mtendaji mkuu wa chamaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Utahila ni ugojwa mbaya sana yaani jitu fukara kuliko mafukara wote ndio linalo kebehe juhudi za wanao jaribu kuliokowa kutoka metekani mwa majambazi ccm.
 
 

Attachments

  • VID-20240923-WA0038.mp4
    11.7 MB
Washwaaa tuuu
Kubwa jinga lao Huna hata hojaaaa

Wivuu na mawazo ya kimasikini zimekukaaa,jinga lao uchaa tuu na ukungunu umekuaaa

Enzi hizi ukabila umekukaaaa ovyoo
Kwa ujinga mlionao ni bora mpigwe mge tu kwani hakuna mnalobarisha zaidi ya kutupigia kelele tu kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…