Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mpaka sasa haieleweki nani mgombea Ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea Ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.

Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu



Na hapa uteuzi wa chama
 
Taasisi kama taasisi ikilegalega ndio mwanzo wa kusema utaratibu haufuatwi. Nabii Shila kama ameshindwa kura za maoni asubiri tuunde serikali ikimpendeza Rais ajae amteua kuwa Waziri katika Serikali itakatoongozwa na Nguli wa Sheria TL.
 
mbona huku CCM tumevurugana majimbo karibia yote?
 
Una uhakika gani kauza nafasi

Mpaka umeamua kurelease hapa,just a simple qn
 
Chadema inabidi wajiweke vizuri maana upuuzi kama huu umefanyika pia Kibamba. Meya Boniface alifanyiwa mchezo huu huu lakini hamna walichofanya zaidi ya kulialia. Sasa mchezo unarudiwa Kibamba na inaelekewa hawajui la kufanya.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…