Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Uchaguzi 2020 CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

Mpaka sasa haieleweki nani mgombea ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya umemkabidhi barua za kugombea ubunge Bilionea Nabii Daniel Shillah aliyeshika nafasi ya pili.

Tazama hapa nabii Shillah akipewa fomu

Katika maneno yaliyoandikwa chini ya hiyo picha kuna sentensi imeandikwa "Niwashukuru viongozi na wananchi ikiwemo na wagombea wenzangu wote kwa kuahidi kushirikiana nami".

Kumbe wameshakubaliana na kuahidi kushirikiana, sasa wewe huo mvurugano umeutoa wapi? Hapo hakuna mvurugano ispokuwa kama utaleta kauli nyingine ya chama ama mtia nia mwingine inayosema tofauti na hiyo hapo juu.
 
Kwani billionea anasemaje kuhusu hilo..??
 
Unajidhalilisha tu na habari ya mavyama.

WOTE HAWAPO KWA AJILI YA HOEHAE BALI VITAMBI VYAO.

Wacha nikampe salamu JPM ha ha ha hah.
Na wewe umefuata nini kwenye habari za mavyama? Na wewe utakuwa panya tu.
 
Haina namna chama kimefanya kama jimbo la Kawe kwa Halima Mdee wote ni watumishi wa mungu maombi yao yamejibiwa kama Gwajima kwa CCM alivyopitishwa
 
Back
Top Bottom