Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Unakaa na Lissu gerezani wa nini?
Mahakama imeshatoa maaamuzi kuwa ushahidi haufai. Ushahidi ambao Dpp na Wasomi wenzake waliaamini ni ushahidi credible.
Sasa wanataka ushahidi gani tena?
Basi wakae na Lissu mpaka hii dunia itakapofika mwisho.
Msimamo huu mpaka Katiba mpya ipatikane hata Lissu akitoka mpaka kieleweke