Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba uchaguzi unakaribia UDOM,so kuna kikundi kinataka kupandikiza propaganda ili kuiharibia kambi ya rais wa sasa wa college ya humanities and social science,Mh. Leonard Singo,huyu jamaa anakubalika sana kutokana na kuwa mstari wa mbele kuongoza mgomo wa kudai haki za wanafunzi. Inasemekana Prof Mlacha ametumwa na makada wa CCM anaanza kampen ya kuhakikisha uongoz utaokuja hautakuwa na nguvu kama wa sasa.Inaeleweka kuwa Leonad Singo na uongoz wake ni wafuasi wa CDM,na ndio maana kuna kampen ya kuwapaka matope CDM na Leonad Singo ili kumharibia mgombea atakaependekezwa na rais wa sasa Leonad Singo,.aliyeandika mada hii nambiwa vile vile kaandika upuuz kama huu kwenye mbao za matangazo chuoni hapo,na wanafunzi huwa hawalitii maanan,Wanafunzi wa UDOM Wanataka rais ajaye awe mwanamapinduzi kama wa sasa LEONAD SINGO....