Chadema ya gonga mwamba udom,jitihada za kuitisha mgomo na maandamano yashindikana!

Utakuwa ni kibaraka wa ccm.Yote aliyosema ni uwongo mtupu kwani jana jumapili ndio Chadema walikutana na uliyosema hata moja halikuwepo. Acha kupotosha umma.


Atakuwa ametumwa huyo,si unajua UDOM ni kijani? Ujumbe unajionyesha.
 
Wakati mwingine uongo unatambulika kirahisi sana hivi msomi anaweza akashawishiwa kuandamana bila sababu, walipoandamana UDOM walishawishiwa?wale ni wasomi huwezi kuwadanganya wanajua ukweli na subiri utaona tuu maana enzi za kudanganyana zimeisha.
 
Mlengo wa kati huna lolote wewe ni kibaraka wa ccm na mzushi mkubwa tena ungefahamika wewe ni nani ulitakiwa ufikishwe mahakamani ukathibitisha upuuzi wako. Suala la kumkataa profesa MLACHA lilikuwa kwenye ajenda ya mgomo wa wahadhiri uliofanyika mwezi january mwaka huu uliodumu kwa siku tano na kusuluhishwa na pinda. Taavifa zinasema bado wahadhiri wa udom wameshikilia ajenda ya kutaka Prof. MLACHA aondoke ndio maana waligoma kumualika kwenye get together party ya wahadhiri iliyofanyika trehe 18 march 2011. Waliwaalika prof kikula na prof kinabo ambao nao waligoma kwenda kwa kuwa mlacha hakualikwa. Kutokana na kiburi alichonacho prof mlacha anajiita kuku anayeatamia na kujinasibu kwamba tangu lini kuku anayeatamia akachinjwa?
 
Mlengo wa kati huna lolote wewe ni kibaraka wa ccm na mzushi mkubwa tena ungefahamika wewe ni nani ulitakiwa ufikishwe mahakamani ukathibitisha upuuzi wako. Suala la kumkataa profesa MLACHA lilikuwa kwenye ajenda ya mgomo wa wahadhiri uliofanyika mwezi january mwaka huu uliodumu kwa siku tano na kusuluhishwa na pinda. Taavifa zinasema bado wahadhiri wa udom wameshikilia ajenda ya kutaka Prof. MLACHA aondoke ndio maana waligoma kumualika kwenye get together party ya wahadhiri iliyofanyika trehe 18 march 2011. Waliwaalika prof kikula na prof kinabo ambao nao waligoma kwenda kwa kuwa mlacha hakualikwa. Kutokana na kiburi alichonacho prof mlacha anajiita kuku anayeatamia na kujinasibu kwamba tangu lini kuku anayeatamia akachinjwa?
 
Kwa jinsi ulivyolibandika bandiko lako, hata Yesu akiniambia wewe sio Mtatiro nitambishia.
 


Mbona aliyeleta huu utumbo hapa hasemi chochote?
 
Ungesema CCM kidogo ningeshawishika....hii ipeleke kijijini kwenye vilabu vya pombe ambavyo ni tunda la CCM ndio wanaweza kukuelewa!!
 
chadema itajilaumu sana kwa njia walizozitumia kujenga umaarufu. kwa situation ilivyo sijui after 3 months itakuwaje. UDOM kuna ududzi mwingi chadema imeufanya, utausikia very soon. tatizo ukijifanya unajua sana inakuwa ni tatizo. mfano mwepesi ni kwamba hata katika familia yako ukisha soma halafu wewe ukajifanya much knw ktk kila jambo kwa familia yako lazima familia ikutenge.That is happening to cdm
 
Nasikitika kusema nchi hii bado tuko mbali sana na ukombozi kwa sasa hivi mtu unakwenda kuingia kwenye vikao vya watu ili kuhujumu na kuja kupost hapa unategemea kuwa unalipwa vizuri au kuahidiwa kitambulisho cha kutongozea na kukopea pombe mitaani na kujiita usalama wa taifa huku mamilioni ya watanzania wenzako wakiwemo ndugu zako wakiseka na maisha haya ya karaha halafu unajisifu najisikia kichefuchefu.
 

Duuuuh!.. Cjui nikuite mzushi.... Au taahira! Kwamaana uliyoandika ni mambo ya uzushi mtupu... Baraza lilikuwepo sawa, Lakini hakuna habari yoyote ya Mgomo iliyoongelewa, mambo yaliyoongelewa ni ya kawaida sana na ya kielimu zaidi pamoja na hali ya maisha... Ni upuuzi kuandika post ambayo hata we mwenyewe moyoni mwako unajua wazi kwamba unadangaya... This is the home of great thinkers!...
 

ha ha ha ha hizo ndio products tunazozitaka,HATUTAKI WANAFUNZI WATAKAOKUJA KUWA WAONGOZAJI MIGOMO MAKAZINI BAADAE KAMA KINA MWITA WA CHADEMA TARIME PRODUCTS ZA CHUO KIKUU D.S.M
 
Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba uchaguzi unakaribia UDOM,so kuna kikundi kinataka kupandikiza propaganda ili kuiharibia kambi ya rais wa sasa wa college ya humanities and social science,Mh. Leonard Singo,huyu jamaa anakubalika sana kutokana na kuwa mstari wa mbele kuongoza mgomo wa kudai haki za wanafunzi. Inasemekana Prof Mlacha ametumwa na makada wa CCM anaanza kampen ya kuhakikisha uongoz utaokuja hautakuwa na nguvu kama wa sasa.Inaeleweka kuwa Leonad Singo na uongoz wake ni wafuasi wa CDM,na ndio maana kuna kampen ya kuwapaka matope CDM na Leonad Singo ili kumharibia mgombea atakaependekezwa na rais wa sasa Leonad Singo,.aliyeandika mada hii nambiwa vile vile kaandika upuuz kama huu kwenye mbao za matangazo chuoni hapo,na wanafunzi huwa hawalitii maanan,Wanafunzi wa UDOM Wanataka rais ajaye awe mwanamapinduzi kama wa sasa LEONAD SINGO....
 

Nilitegemea kitu kama hiki. Unajua student politics ingawa ni ngumu ila hauwezi ku-apply kwenye jamii nje ya chuo. Aliyetengeneza hii tuhuma siyo mtu makini hata kidogo. Katika hayo madai matatu, lakwanza limeshapokelewa na serikali, hivyo njia ya kushinikiza serikali kuendesha mchakato wakatiba haraka wangetumia nguvu ya umma (eg Maandamano), kwani katiba inalinda maslahi ya umma wote na si wasomi wa UDOM pekee. Hayo mengine mawili hayana connection kabisa na CDM, sidhani mtu kama Lissu angeingiza mguu kwenye mambo kama hayo. Pia swala la Prof.Mlacha wanaotaka atolewe ni walimu zaidi, kutokana na uongozi wake wa mizengwe. Hilo la mabweni wahiiiii.
 
Ushauri wa Bure kwa wana JF,
Kuna watu wanatujazia thread za kipuuzi humu ndani na kutupotezea muda wetu. Lazima tuwe makini nao.
 

Hizo ni ndoto za mchana. ziache tu.
 
Hapo kwenye red + muhadhiri+kaumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…