Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe.
Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa.
Hivi sasa CHADEMA wanaosikilikana
1. Heche
2. Lissu
3. Lema
4. Amani
Kijana pekee anaesikilikana ni mwenyekiti tu. Hivi sasa vijana wengi ni chawa wa Lissu na sio chawa wa CHADEMA
Sio CHADEMA ile ya akina Boni yai, Salum Mwalim, Mrema, Kigwqngila, katibu wa Bavicha mstaafu. Pambalu, sheikh Kadogoo
Chadema ile wakisimama majukwaani Dodoma inatetema makao makuu ya CCM
Hivi sasa hoja zote za CHADEMA zinajibiwa na Wasira tu.
Vijana wengi wamefichwa na hawapewi nafasi majukwaani.
Demokrasia ndani ya chama imetoweka.
Chadema inaelekea kaburi la kisiasa. Time will tell