ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nini kimeifanya hii CHADEMA ya Lissu kuwa ya baridi hivi?
Hatusikii kama Kuna Chama cha upinzani
Binafsi sikutaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama ila Sasa nimeanza kuamini kuwa Mbowe alikuwa master wa siasa za harakati
1. CCM wameamua kuwanyima Chadema agenda
Kwa Sasa utekaji umepungua na vurugu za kamata wapinzani hamna.
CHADEMA ya Lissu imekosa agenda ya kudandia
2. Tatizo la uchumi
Au labda baada ya kuondoka tycoon Mbowe alilsepa na briefcase 💼 yake ya fedha, na Kwa Sasa CHADEMA haina jeuri ya pesa, kuendeshea mikutano, safari n.k
3. Kuna mgomo baridi ndani ya Chama
Ile mivutano ya uchaguzi labda haijaisha, labda team mbowe hawakukunjua roho na kumpa full support Lissu
Naona Bon Yai, Sugu, Yerrico Nyerere na wengine hawana muda na chadema
Na Sasa CHADEMA amebaki Lisu, Heche na Lema
4.Lissu sio kiongozi mzuri kushika wadhifa wa juu
Lissu inatakiwa awe na mtu wa kumwongoza, Lissu hawezi kuwa final say akafanikiwa
Hiyo ni weakness ambayo wengi Huwa wanayo na lakini hawapendi kuitambua na kuikubali
5. Lissu amekuja na agenda ya ovyo
Au ni kama amekosa agenda
" No reform no election' Haiwezi kufanikiwa na hakupata ushauri mzuri
Uchaguzi mkuu Bado umebakiza miezi 7, ukija na agenda ya kugomea uchaguzi CCM wanafurahi na CHADEMA itakuwa imewanyima haki Wanachama wao
6 Lissu hawezi kufanya recruitment ya kupata vijana vyuoni
Mbowe aliwashawishi vijana wengi na wakufunxi tokea vyuoni akina Halima Mdee, professor Balegu, Katambi, Mnyika, Heche n.k
Ajiulize baada ya hao walitoka Chadema ya kesho mikononi mwa Lissu itakuwaje
Mbowe ni Mafwa alijipenyeza kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Mbowe huko kwenye hivo vyombo anaheshika na alikuwa na Kijiji chake,
Kumbuka Mzee Marehemu Kibao alikuwa mwanajeshi mwenye cheo cha juu lakini alikubali kujiunga CHADEMA na kuwa mjumbe wa mkutano mkuu
Pia wale makomando wawili, waliosota na Mbowe kwenye kesi ya ugaidi, Mbowe aliweza kushawishi hadi makomando kuwa upande wake
Hili Lissu hawezi kulifanya kati. Hajui aanzie wapi
Lissu sio kiongozi mzuri nadhani Mbowe ndo anaijua chadema na Chocho zote, wapi apite na afanikishe
Japo tulimwita Mbowe mlamba asali ila nadhani Kwa miezi aliyotoweka tushaanza ku miss siasa zake