Watanzania buku wangeongea kwa uwazi juu ya uovu wa ccm kila siku kwa mwezi mmojatu uovu,iwe kwenye haki za msingi za binadamu,iwe za kiraia,iwe za kisiasa,zakiuchumi au utawala wa sheria,wakoloni weusi wange tundika daluga na kurudi kulea wajukuu wao kwenye vijiji vyao walivyovitekeleza mara tu baada ya kuanza kuwanyonya na kuwaibia watanzania.Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.
Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.
Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Tutawalazimisha wauoneKwa nini ccm hawauoni huo ukweli?
CCM itaondoka madarakaniSs Kwann police CCM wanawabana banaa ,wasiwapee uhuru wakusambaza demokrasiaa 🤔🤔🤔
Saa sitaaa mchanaaa hatutakuwa nao...CCM itaondoka madarakani
SureSaa sitaaa mchanaaa hatutakuwa nao...
Nyie wana ccm mnaoweza kusema saidieni kuliokoa Taifa.Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.
Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.
Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Nimeshtuka kwanza nikashani macho wangu yanaumwa.
In deed watu tunataka mabadiliko ya kweli ili kila Mtanzania ajivunie nchi yakeKwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.
Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.
Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
SahihiIn deed watu tunataka mabadiliko ya kweli ili kila Mtanzania ajivunie nchi yake
Umeelewa kwa kuchelewa SanaKwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.