CHADEMA ya Lissu ni CHADEMA inayolitakia mema taifa letu

Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Mimi binafsi namuelewa Lisu sana. Ukimsikiliza hotuba yake tangu alipokuwa anatetea wananchi wa Msoma kwenye uharibifu wa mazingira,
utaelewa kuwa anapambania watanzania. Wanaodhani ni mtu dhaifu waangalie nyomi iliyo nyuma yake.
 
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Heading imekaa poa sana
 
Watanzania buku wangeongea kwa uwazi juu ya uovu wa ccm kila siku kwa mwezi mmojatu uovu,iwe kwenye haki za msingi za binadamu,iwe za kiraia,iwe za kisiasa,zakiuchumi au utawala wa sheria,wakoloni weusi wange tundika daluga na kurudi kulea wajukuu wao kwenye vijiji vyao walivyovitekeleza mara tu baada ya kuanza kuwanyonya na kuwaibia watanzania.
shida ni unafiki na uzandiki, na kuruhusu akili kuhamia matumboni.

shithole!!!!
 
Nimeshtuka kwanza nikashani macho wangu yanaumwa.

Nakiri mimi na Idugunde tumesharumbana sana humu kwa muda mrefu kuhusu swala la kuipenda nchi kwanza.
Siku wakiamka tutoka usingizini watu hawa jua kumekucha na tayari ni asubuhi ya saa tano ,saa sita kasoro.Tlatlaah,Chiembe,Choicevariable,akina Igudunde wamekurupuka saa tatu asubuhi ila hawa wengine wqnakoroma bado.
 
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Nakazia
 
Hahaha
 
Natamani nikupatie tusi Moja kubwa sana lakini acha nikae kimya tu.
 
Back
Top Bottom