Figisu tena...mi ninachojua ni kura zilifanya kweli mkuutangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali
CCM ni genge la wezi wa mali na kodi za watanzaniaHakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Wacha wee...Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Kutoa mada upo sahihi, sababu mojawapo kuu ya Hali kuwa hivyo ni uwepo wa wanachadema weeengi wabwatukaji wasiotumua (au hawana) akili kama huyu hapa. Hebu angalie jibu lake la kimipasho kwanza Huku akionekana kimlilia huyo lissu wao kwa sauti inayosikika kama inapitia piani hv.Figisu tena? Kulikuwa na figisu pale?
Kwann ccm hamtaki kukubali Lissu alishawashindaga tu? Mtaishi na kumuwaza hadi lini?
Tangu ile siku kaponyoka kwenye zile risasi 30 ilitakiwa mkubali tu kashawashinda huyu
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Figisu tena? Kulikuwa na figisu pale?
Kwann ccm hamtaki kukubali Lissu alishawashindaga tu? Mtaishi na kumuwaza hadi lini?
Tangu ile siku kaponyoka kwenye zile risasi 30 ilitakiwa mkubali tu kashawashinda huyu
Subiri afikishe miaka ishirini (ya uongozi) kama aliyoongoza Mh. Mbowe ndo umlinganishe, mbona mapema sana hivi kufanya comparison! Umetumia kigezo gani?Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Mbona katiba ya ccm ili kiukwa pale dodoma na hamsemi na kupaza sauti ? Au ile haikuwa figisu?Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.