CHADEMA ya Lowassa ilikuwa bora kuliko ya Slaa ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010?

Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
 
Lowassa alikuwa ni kile waswahili husema 'zimwi likujualo'. Maisha yake yote alikuwa ni kingmaker wa CCM. Alipoondoka, aliondoka na mbinu zote ndio ikawa faida kwa CHADEMA.

Kwenda kwa Lowassa CHADEMA ilikuwa kama mpishi mwenye recipe ya signature dish ya mgahawa kaondoka na kwenda mgahawa mwingine. It's obvious wateja waliokuwa wakifuata ladha watahama kumfuata mpishi alipokwenda.
 
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010?

Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
Una akili ndogo sana
 
Kiukweli kabisa 2015 Lowassa alipata kura nyingi kuliko Magufuli .
 
Usisahau wakati wa Slaa kwenda Nyuma Chadema hawakuwa na uwezo hata wa kusimamisha wagombea nchi nzima, Wakati wa Slaa kama kumbukumbu zipo sahihi walikua na wagombea 65% ya majimbo yote, kuna majimbo mengi CCM walishinda bila kupingwa.

Lowassa alikua si tu anakubalika bali alikua na uwezo wa kifedha kuhakikisha Kampuni zake zinafika kila kona ya Nchi.
 
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010?

Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
Lowassa alikuta chadema imeisha tengenezwa na Slaa,na kama hisingelikuwa tamaa za Mbowe na Lissu wake kumzunguka Slaa hata kama CCM ingelishinda, chadema ingeliendelea kuwa na nguvu zake kama 2015 hata na kuzidi, Maana kipindi hicho CCM ilikuwa imechokwa vibaya mno hadi kuonekana umevaa nguo za kijani unazomewa, CCM wenyewe walikuwa wanavalia kwenye mikutano yao hikiisha wanavu kuficha aibu.nilivyoona Mbowe na Lissu wamemkubali Lowassa kuwa mgombea wao tokea hapo niliona Mbowe ni mfanyabiashara sio mwanasiasa makini, mpaka Sasahivi siwezi amini chadema ya Mbowe na Lissu ni wanasiasa makanjanja.
 
Kwa nini Lowassa alipata 40% ya kura tena wengine wanaamini alishinda kabisa??
 
Wanaccm aliohama nao Lowasa ndiyo walioongeza idadi ya kura
 
Kwa nini Lowassa alipata 40% ya kura tena wengine wanaamini alishinda kabisa??
Lowassa alikuwa hawezi kushinda sababu alikuwa na tuhuma nyingi kuliko Magufuli, lakini hata hivyo kipindi hicho ungeliweka mgombea wa CCM na jiwe watu wangelipigia jiwe, CCM ilikuwa imechokwa vibaya mno,Slaa alikuwa ameisuka chadema vibaya mno.
 
Watu walikuwa wameichoka CCM ya 2015 ya JPM kuliko CCM ya 2010 ya JK?

Kwa hiyo kama Lowassa angesimamishwa na CCM halafu Slaa angegombea kupitia CHADEMA slaa angeweza hata kushinda?
 
Back
Top Bottom