Chadema ya Sasa sio chama cha upinzani bali ni wakala wa mabeberu

Chadema ya Sasa sio chama cha upinzani bali ni wakala wa mabeberu

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Siioni chadema inayotetea maslahi na fikra za watanzania bali inafanyia kazi maelekezo ya wazungu wahuni hivyo tuikatae
 
Hizo story za mabeberu Wala hazilipi! Naona watu wanawapenda hao mabeberu! Tafuteni story nyingine
nani anayewapenda?mnazungusha na costa za misiba tu halafu mnadai mmejaza uwanja
 
Ukiona chawa wameamka kwa kasi namna hii ujue kuna fungu kubwa limetoka, japo watoaji watalamba 90% chawa watakula kumi kudistruct movements mtandaoni na mtaani!
 
FB_IMG_1756217929952.jpg
 
Ukiona chawa wameamka kwa kasi namna hii ujue kuna fungu kubwa limetoka, japo watoaji watalamba 90% chawa watakula kumi kudistruct movements mtandaoni na mtaani!
USD 950,000 za DIPD
 
Back
Top Bottom