Elections 2010 Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!!

Elections 2010 Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!!

You CCM gays/guys we are fed up by your longolongo propagandas!!!
Who is mama Jimotolo in Chadema, she is just a tiny dot in CHADEMA. She will never ever distabilize CHADEMA. Never!!!!

Hizi propaganda za kuandaliwa na mashushu na makada wa CCM haiziwezi kuibomoa ngome imara ya CHADEMA. Nasema CCM hamuwezi.
Hii ni mara ya 3 Kikwete kwenda Kwimba, ina maana huyu mama safari zote zile mbili alikuwa wapi?????
Ni mwendawazimu tu anayeweza kukubaliana na uongo huu wa kupika.

Hivi ni mtu gani anayeweza kuipigia CCM hata baada ya kuona picha hizi zilizoanikwa kwenye mtandao huuu???Pengine ni kwa aina ya watu kama Kipofu,kiziwi,zezeta,bubu,juha au chizi! Narudia tena MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUKUBALINA NA UPUUZI HUU WA CCM.
 
Consultant,

Kwa niaba ya mhe.Mwafrika napenda kujibu swali lako kama ifuatvyo: Hiyo picha hapo juu inaonyesha mandhari ya Mwanza,bila shaka unajua kuwa Mwanza unaitwa ni Stone Town hasa ukizingatia lile jiwe maarufu linalotwa Bismark Rock. Kwa hiyo maeneo mengi ya Mwanza yana sura kama hii. Kama sitakosea nyumba hizi zinaonyesha aidha nyumbani kwao mama Jimotolo au ni myumba za jamaa/ndugu zake.

Kwake mama Jimotolo nyumba kama hizi ndiyo maendeleo na maisha bora kwa kila mwana CCM.
Shame on you CCM Leaders+members.
 
You CCM gays/guys we are fed up by your longolongo propagandas!!!
Who is mama Jimotolo in Chadema, she is just a tiny dot in CHADEMA. She will never ever distabilize CHADEMA. Never!!!!

Hizi propaganda za kuandaliwa na mashushu na makada wa CCM haiziwezi kuibomoa ngome imara ya CHADEMA. Nasema CCM hamuwezi.
Hii ni mara ya 3 Kikwete kwenda Kwimba, ina maana huyu mama safari zote zile mbili alikuwa wapi?????
Ni mwendawazimu tu anayeweza kukubaliana na uongo huu wa kupika

Hivi ni mtu gani anayeweza kuipigia CCM hata baada ya kuona picha hizi zilizoanikwa kwenye mtandao huuu???Pengine ni kwa aina ya watu kama Kipofu,kiziwi,zezeta,bubu,juha au chizi! Narudia tena MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUKUBALINA NA UPUUZI HUU WA CCM.

huyu ni mwenyekiti wa wilaya na Chama kinamjua kua ni mwenyekiti wa wananawake wa wilaya unasema yeye ni nani?

kwa hio chadema kwake chama ni mbowe na Slaa na Kidogo Zitto basi? wengine wote vidagaa?

jee hawa wananchi mnaowaomba kura si mtasema ni sisimizi tu ?

sirogwi kuchagua chama hiki na mama tunakupongeza kuuona ukweli ukaamka na kuchomoka kwa wababaishaji
 
Mbona una hasira sana leo? I thought wachawi wote wako ccm wakiongozwa na mlinzi binafsi wa Kikwete Shehe yahya husein?
 
huyu ni mwenyekiti wa wilaya na Chama kinamjua kua ni mwenyekiti wa wananawake wa wilaya unasema yeye ni nani?

kwa hio chadema kwake chama ni mbowe na Slaa na Kidogo Zitto basi? wengine wote vidagaa?

jee hawa wananchi mnaowaomba kura si mtasema ni sisimizi tu ?

sirogwi kuchagua chama hiki na mama tunakupongeza kuuona ukweli ukaamka na kuchomoka kwa wababaishaji

Simply deformed mentally! Hatudanganyiki
 
Kweli Rev,
Ngoja nizitafute.

haya nimepata some of the best kwenye hii kampeni, huyu dada lazima nimuunganishe na Steve Dii ili ampe 'training' ya kucheza komba:

Twanga.JPG
 
Ni kwa namna hii unavyowafahamu. Itikadi zao na imani zao. Misimamo yao pia. Waliohama chama pamoja na aliyeleta maada
 
Kwa ninavyofahamu mimi Pwani huwezi pata mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, kutafakari na kujua lipi ni hoja ya msingi, lipi suala muhimu kwa mustakabari wa taifa azaidi ya ushabiki wa chama.......if i go deep zaid i notice something different in u (Ur faith, believe and culture) hapa ndipo tatizo lilipo. Inahitaji elimu ya Kidato cha ngapi kuweza kuona uhuni huu, ubabaishaji, na umbumbumbu uliokubuhu. Eti unagawa tshirt, mabango, kofia n.k kwa wananchi wenye njaa, maradhi, na wasiokuwa na makazi......eti kiongozi! Kiongozi wa wanyama au human being?....ya huyo mama siyakushangaza wala kufurahia zaidi ya kumsikitikia na kumuonea huruma isiyoelezeka, sishangai kusikie keshoktwa tu kwenye vyombo vya habari " Yule mama aliyerudisha Bendera CHADEMA (Sasa chama tawala), kafaiki kwa matatizo ya uzazi, kwa zahanati iliyomaeneo anayoishi kutokuwa na dawa wala mganga, na habati mbaya zaidi zahanati hiyo haina gari la wagonjwa"
 
Najua Makamba yupo huko akigawa pesa....haishangazi kwani " hayo yametokea Kigoma, aliponunua tawi ya wakereketwa wa CHADEMA la "Urusi" kwa 18M. Na kwakuwa wale waungwana walikuwa watoto wa mjini, kesho yake walijenga kijiwe kingine opposite".......Tunajifunza nini hapa zaidi ya kujua watu tulionao ni hopeless, bogus na majuha tu.......Mwisho wao umefika na ni hiyo 31 Oktoba.
 
Back
Top Bottom