Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

Jifariji wewe nyumbu sugu
View attachment 1368011
View attachment 1368013
View attachment 1368014
View attachment 1368019

Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe hawezi kushinda Ndanda hata kama vikosi vyote vya polisi vitahamishiwa huko ili kutisha wananchi.

Pichani ni viongozi wa Kanda ya Kusini wakizindua moja ya tawi la Chadema jimbo la Ndanda .

Angalizo : Huo wa Chadema haukuwa mkutano wa hadhara kwa vile siasa za majukwaani zimezuiwa nchini Tanzania , ulikuwa uzinduzi tu
 
Mkitoka hapo mseme hakuna uhuru wa kukutana! Pumbavu!
 
V

Vizuri sana wa-mkoa hatutaki watu wasengerema.. Huyo mwambe akaozee hukohuko CCM
 
Back
Top Bottom