CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

Mkuu kumbuka kuna watanzania zaidi ya 60m

Umeshajiuliza chadema mko wangapi

Kipindi mnahamasisha vodacom isusiwe uliona matokeo yake?

Suseni.
 
yaani wanaoandika huu ugoro ukimwomba una buku ya haraka hapo unakuta na 1200 zake tu zinayumbayumba kulia na kushoto
 
Takataka za lumumba kama kawaida yenu Ok vipi sisi tunaodai katiba mpya
 
Sasa mbona jpm wababe wamemlaza milele na cdm bado ipo inadunda ??
 
Hii hadithi ya kipuuzi ingewafaa zaidi wendawazimu na watu wajinga.

Wenye akili tunajua anayelididmiza na kulichafua taifa ni yule asiyeheshimu sheria, haki za watu, demokrasia, uhuru wa maoni na haki ya kukusanyika.
Usisahau asiyeheshimu utawala wa sheria

bwana malienge
 
Mbona tunawaelewa na kuwaunga mkono
 
Sikiliza wewe mpumbavu na juha wa CCM,mpango uliopo siyo kuivuruga Tanzania bali ni kuibomoa bomoa CCM iliyoleta ujinga na umaskini Tanzania,ili Tanzania iwe huru dhidi ya ushenzi na ukatili wa CCM,sasa mmeshajua pesa zinatoka kwenye mataifa makubwa,Uingereza,Ujerumani, Marekani,mtaweza kupambana na hayo mataifa nyie mbwa Koko?
 
Watu wengine sijui wanafirije jamani! Yaani, pesa zitoke nje (huenda sawa na mabilioni ya shilingi kwa ajili ya Chadema) na ziingizwe kwenye accounts za chama au labda za mtu binafsi au watu binafsi serikali isijue na isiulize waliozipokea wamezitoa wapi? Sitaki kuwa nadanywa danganywa na kauli eti mhadhiri wa chuo kikuu. Huyo mhadhiri alijuaje, ameziona wapi au zimefikia benki gani?
 
maneno mtupu...!
 
Mkuu kumbuka kuna watanzania zaidi ya 60m

Umeshajiuliza chadema mko wangapi

Kipindi mnahamasisha vodacom isusiwe uliona matokeo yake?

Suseni.
Watanzania mlio wengi mliokuwa mnasema sabaya kaonewa na mkapitisha bakuli mlipata bei gani?
 
Wakishatoka CCM then nchi wapewe CDM? CDM hawa wasioeleweka, wanaohongeka hovyohovyo na kusaliti harakati
 
UPUUZI MTUPU!!!
 
Nchi hii ina wahadhiri wapumbavu namna hii?
Ccm ishaelekezwa kibra
 
Nakubalina nawe 100 kwa 100.

Hii nchi una ujinga mwingi sana, hata unaona aibu kujiita mtz.

CCM haifanyi tena siasa kukabiliana na Vyama vyenzake CDM na wengine, bali jukumu hilo kwa sasa wamepewa Polisi, TISS na vyombo vingine vya dola.

Nakushaurini:
Hii idea mpeni kigogo aanze kumwaga upupu mwanzo mwisho.

Muambieni kigogo hii ndio mbinu mujarabu dhidi ya uovu huu TZ maana hii haina kubambikiwa kesi ama kukamatwa ni kimya kimya
 

Huyu mtu apa kaona kaandika hii kahawa bila kashata. Kiongozi mzuri anasikiliza mawazo hata kama hakubaliana nayo,kwenye majadiliano kuna kitu tunaita kukubaliana kutokukubaliana halafu unatoa tuhuma bila hoja wala ushahidi wa unachokizungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…