CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

Ni uzalendo gani anaounesha Rais kwa kuwatoza wanyonge kodi kubwa huku yeye na wabunge wao hawalipi hata thumuni ya kodi?

Tunataka Rais atambue yeye na wabunge wake ni sehemu ya wakwepa kodi ktk nchi hii.

Na kwa nyongeza tunataka katiba mpya ituondolee Rais na wabunge wakwepa kodi nchi hii!
 
Rubbish.
 
Umeandika upuuzi mtupu. No wonder hata degree za vijana wetu ni incompetence kwenye soko kwa sababu ya wahadhiri vilaza kama wewe.
#FreeMbowe
#Isnotaterrorist

Amandla.....Amandla!!
 
Jamani huyu mupokonye simu hiyo anatapika matapishi Lissu au CHADEMA wana nini mpaka walete machafuko. Ukiwa upo Tungi usiandike kitu mpaka tungi iishe kijana wa kijani wewe acha makelele .
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
Mbowe atatoka tuone upumbavu wako na ujinga utauficha wote nchi sio ya ccm peke yao no nchi ya mfumo wa vyama vingi muwe wa vumilivu tu ipo siku na nyie mtakuwa wapinzani
 
Upumbavu wetu na utulivu wa watanzania ndio imekuwa fimbo ya ccm kufanya watakalo ipo siku yaja
 
Kama mwandishi wa makala haya ni mhadhili wa chuo kikuu ,basi Tz haina vyuo vikuu. Ujinga mtupu
 
We mhadhiri gani mjinga kiasi hiki?!
 
Kama kweli utumbo huu umeandikwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu basi elimu yetu iko ICU.
Blah blah zote hizi bila facts na anategemea watu wenye akili timamu wasimdharau, total rubbish.
 
Mkuu kumbuka kuna watanzania zaidi ya 60m

Umeshajiuliza chadema mko wangapi

Kipindi mnahamasisha vodacom isusiwe uliona matokeo yake?

Suseni.
Cdm tuko 10 tu. Ndio tunataka tutumie mbinu hiyo maana tuko wachache.
 
Unastahili kufikiri zaidi ya hapa, Chadema bado inaitaji kupambana kushika dola bila kugawa watanzania.
 
Unastahili kufikiri zaidi ya hapa, Chadema bado inaitaji kupambana kushika dola bila kugawa watanzania.

Hata wazungu wa Afrika kusini walitengwa na weusi wa Afrika kusini, baada ya wazungu kupigwa chini utaratibu ukaanza kufuatwa. Cdm watashika dola wakati ccm inatumia vyombo vya dola kupora uchaguzi? Kujitenga na wanaccm ni hatua sahihi za kuking'oa madarakani chama kikongwe cha kijamaa kilichojishika na vyombo vya dola.
 
Umesahau Siasa za CCM za kupiga Watu risasi kuwateka Kuwabambikizia Kesi ndio zilizoivuruga Nchi wakati vingine Azima hata AKILI ZA jirani maana Ubongo utakuwa huna

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Kama huu upuuzi umeandikwa na mhadhiri wa chuo kikuu tena udsm,sasa ndio nimeelewa kwann vijana wetu hawaajiriki kwenye kampuni kubwa na kuzidiwa na wenzetu toka Kenya na Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…