CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

Sasa kama wanadai katiba mpya kuna ubaya gani! Kama wanadai tume huru ya uchaguzi kuna ubaya gani! Kama wakishinda urais wakatangazwa wameshinda kuna ubaya gani! Kama wakishindwa kihalali wakatangazwa wameshindwa kw uwazi kabisa kuna unaya gani. Hicho ndo kinachotafutwa siyo ushindi wa mezani wa ccm wa kupita bila kupingwa. Laiti tume huru ingekuwepo tz hata majaliwa asingeshinda jimbo la luangwa wa nape.
 
ccm tusiweke viongozi vichaa Dr .Antony Dialo
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
Safi sana Gaidi mbowe kuwa ndani hiyo haina shida sasa dictetor wa Kike Africa Samia apande mlima kilimanjaro kuenjoy life
 
Chadema gani wale makufuri
Chadema gani? Si Marehemu alisema wamekufa? Au wamefufuka tena?!
 
Unakatwa mbele nni
 
Umeandika kitu ndeefu ya kutunga na uongo. Unarudia rudia sentensi kama kuku aliyekatwa kichwa na haina manufaa kwako na wanaosoma. Inakusaidia nini kuwa muongo na mzandiki? Unafurahia kubambikia watu kesi? Sio muda mrefu utawaomba watu msaada wakusaidie dhidi ya hao unaowatukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…