CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Mkuu duniani kote hakuna siku madai ya haki kutoka kwa watawala yaliwahi kuenda kwa wepesi.

Watu wengi wanafungwa na wengine wanapoteza maisha.

Inshahlla tutafanikiwa ndugu yangu.
Amen.
 
Kinacho kuuma ni kipi ?Wewe umezoea kupewa hela 7000/- .Sisi tunaojua kutafuta mwenyewe acha tuchangie .
Angalia akili zenu sasa,toka mwaka 90 najitegemea sijawai kuomba hela kwa mtu kwa jambo lolote lile.hata msiba wala harusi sijachukua senti 10 ya mtu wala mchango.
 
Angalia akili zenu sasa,toka mwaka 90 najitegemea sijawai kuomba hela kwa mtu kwa jambo lolote lile.hata msiba wala harusi sijachukua senti 10 ya mtu wala mchango.
Sasa Hivi hela nitachangia tena na tena.Kajinyonge basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…