Chadema yaanzisha Program ya Mafunzo kwa Wanachama wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali

Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa sasa CHADEMA ndio inayotoa viongozi wa Nchi

# HATUTANII

 
Sawa Sawa bravo CDM... Msiwasahau BIA YETU NA MAGONJWA MTAMBUKA waje wapate mafunzo... Mkeka ujao watakumbukwa
 
Bado Sana hiki chama,Hadi bwana yule aachie ngazi ndo kitazinduka
 
Hayo ni mambo sahihi kabisa kufanywa na chama, na sio kusubiri wakati wa uchaguzi na kuokota matakataka toka ccm. Matokeo ya kuokoteza matakataka toka ccm, ndio yalipelekea kupata yale matapeli ya kisiasa kama kina Lowassa, Sumaye, Msindai nk. Mafunzo haya yatolewe kwa nguvu kubwa, na tuko tayari kuchangia kidogo kidogo tulichonacho ili kufanikisha hilo jambo zuri.
 
Asante sana
 
Chama kinazidi kunoga
 
Hizi harakati ni za kuungwa mkono na kila mpenda mabadiliko chanya
 
Chama kinachotoa dhahabu ambazo ccm wanazivizia na kukwapua
 
Msigwa kabaki kujibizana na vitoto vidogo kule facebook
Kwa ujinga mlionao wageni watazidi kuwaacha mnasugua benchi,kwa sababu Hamna akili wanakuja wanawaacha hapo mnashona vilaka vya makalio tu
 
Chama changu ,najivui kuwa na watu Kama mh Msigwa , mungu ampe maisha marefu , Chama KWA Sasa tukijenge mpaka ccm wapasuke filigisi
 
Wewe kama wakala umeuza kadi ngapi? Leo Peter ndio Mwalimu wa uongozi? Kweli,maajabu hayataisha
 
Wewe kama wakala umeuza kadi ngapi? Leo Peter ndio Mwalimu wa uongozi? Kweli,maajabu hayataisha
 
Wewe kama wakala umeuza kadi ngapi? Leo Peter ndio Mwalimu wa uongozi? Kweli,maajabu hayataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…