Chadema yaapa kuisupport Arsenal!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Baada ya Asernal kuanza vyema EPL uongozi wa Chadema unaangalia taratibu za kuinga mkono rasmi timu hiyo ya washika mitutu wa london.

Chanzo chetu cha habari kilichoko jijini london kimetueleza kuwa mawasiliano ya awali kati ya wajumbe wa pande mbili yameanza.

Kwa upande wa mashabiki wa asernal walioko nchini Tanzania wameshukuru kwa hatua hiyo kwani inaelekea Chadema ina wataalamu wengi sana wa kuunga mkono na kujitafutia kiki kuliko harmorapa.
 
Hata matatizo na furaha ya mkeo utaihusisha Chadema!
 
Ndugu yangu jingalao unajitahidi sana kuonesha muelekeo wako wa chama cha mapinduzi. Lakini nikusihi tu michezo haina utaifa, chama wala ukabila au rangi. Usilazimishe kupost kila mara ili uonekane unapenda nn. Vitu vingine unapost na kuonekana kama hayawani. Usituudhi tusishabikia ujinga wenu

Sent from no where
 
Jina lake tu linamuelezea alivyo,sasa kutoa povu kwa mtu kama huyu kwakweli ni upotevu wa rasirimali mb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…