jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Baada ya Asernal kuanza vyema EPL uongozi wa Chadema unaangalia taratibu za kuinga mkono rasmi timu hiyo ya washika mitutu wa london.
Chanzo chetu cha habari kilichoko jijini london kimetueleza kuwa mawasiliano ya awali kati ya wajumbe wa pande mbili yameanza.
Kwa upande wa mashabiki wa asernal walioko nchini Tanzania wameshukuru kwa hatua hiyo kwani inaelekea Chadema ina wataalamu wengi sana wa kuunga mkono na kujitafutia kiki kuliko harmorapa.