CHADEMA yadai Lissu kakamatwa kwa Uhaini, Polisi Ruvuma wasema ni Uchochezi. Mbona mnatuchanganya?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi!

Hii sintofahamu inazua maswali mengi na kutonesha kidonda cha wasiwasi kuhusu uhuru wa kisiasa nchini. Mbona mnatuchanganya? Mbona taarifa haziakisi ukweli mmoja? Kama kuna kosa, basi sheria itumike kwa haki na uwazi, si kwa njia ya vitisho na kuminya demokrasia.

Soma, Pia
 
Boni Yai kasema...! mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro
 
Most probably ni INCITEMENT (uchochezi)... how? hayo ya baadaye
 
Seditious intentions = uchochezi

Sedition as crime is form of treason = uchochezi zidi ya serikali ni aina ya uhaini

Uchochezi = uhaini (be it lesser form).

Mbona maelezo yapo kwenye ‘penal code’ na section moja.

Lakini watanzania, yaani unakuta document ipo online mtu badala ya kusoma na kuelewa; nuh-hu anatafuta tafsiri zake.
 
Boni Yai kasema...! mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro
Chief mambo ni mengi hii nchi
 
Boni Yai kasema...! mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro
Propaganda kwani Lissu alitenda kosa gani akiwa dar es salaam
 
ukisikia serikali imekalia fence fence yenyewe ya umeme , ngoja uwasha umeme tuone
 
Seditious intentions = uchochezi

Sedition as crime is form of treason = uchochezi zidi ya serikali ni aina ya uhaini

Uchochezi = uhaini (be it lesser form).

Mbona maelezo yapo kwenye ‘penal code’ na section moja.

Lakini watanzania, yaani unakuta document ipo online mtu badala ya kusoma na kuelewa; nuh-hu anatafuta tafsiri zake.
We ni takataka sorry to say so..
Kwamba uchochezi na sedition yanatumika intachangeably? Hata mwanafunzi wa std one anakushanhaa mahamuma au ukitaja penal code Ndio kwamba watu watakuona nguli?
 
Seditious intentions = uchochezi

Sedition as crime is form of treason = uchochezi zidi ya serikali ni aina ya uhaini

Uchochezi = uhaini (be it lesser form).

Mbona maelezo yapo kwenye ‘penal code’ na section moja.

Lakini watanzania, yaani unakuta document ipo online mtu badala ya kusoma na kuelewa; nuh-hu anatafuta tafsiri zake.
We ni takataka sorry to say so..
Kwamba uchochezi na sedition yanatumika intachangeably? Hata mwanafunzi wa std one anakushanhaa mahamuma au ukitaja penal code Ndio kwamba watu watakuona nguli
 
Wakuu

Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi!

Hii sintofahamu inazua maswali mengi na kutonesha kidonda cha wasiwasi kuhusu uhuru wa kisiasa nchini. Mbona mnatuchanganya? Mbona taarifa haziakisi ukweli mmoja? Kama kuna kosa, basi sheria itumike kwa haki na uwazi, si kwa njia ya vitisho na kuminya demokrasia.

Soma, Pia
Tulieni dawa iwaingie shwaini nyie!
 
We ni takataka sorry to say so..
Kwamba uchochezi na sedition yanatumika intachangeably? Hata mwanafunzi wa std one anakushanhaa mahamuma au ukitaja penal code Ndio kwamba watu watakuona nguli
IMG_7764.jpeg

Acha kutoa vitu kichwani kwako na kuleta ujuaji. Haya sedition kwa Kiswahili ni nini?
 
View attachment 3299142
Acha kutoa vitu kichwani kwako na kuleta ujuaji. Haya sedition kwa Kiswahili ni nini?
Mpuuzi wewe onyesha Nia au TAMKO la Lisu likitamka uasi dhidi ya Serikali iliyoko madarakani! By the way this is not lawful government that's why it is doing everything unlawful to remain in power!
Loss call for the people to protest against irregularities and unfair electoral procedures and systems! And he is calling for the government to make necessary reform's amdist to the need of free and fair elections where every party and every individual of this land will have equal rights to participate. If that be the reason for his arrest let him die for it! Usidhani hii nchi inawajinga wajinga kama wewe.
Polisi Ruvuma inasema uchochezi, dar inasema uhaini! Which is which? Tusiwashangae kama kwenye Kesi ya Mbowe na Ile ya Dr Sala kwamba mlimkamata Kwa uhaini baada ya kuona aibu mkasema uchochezi na baadae mkamwachia?
You guys are hooligans and traitors of this nation!
 
Like I told you stop with the nonsense creating legal rules from the top of your head to suit your weak narrative argument’s.

Read the penal code it’s clear (to be specific Tanzania, penal code).

Sio kujiongelea ujinga tu, uchaguzi upo kisheria. Moja ya makosa ya seditious intention (mind the word ‘intention’), ni kuhamasisha watu kutokuheshimu sheria za nchi.

Serikali labda imuonee huruma tu, Iła kwa uropokaji wa Lissu ana makosa luluki under section VIi ya Tanzania ‘penal code’ ranging from mild to severe treason offences.

Baada ya hapa nitajibu kwa mujibu wa sheria (should you quote an aspect of Tanzania law) otherwise can’t keep entertaining your wishful thinking.
 
Back
Top Bottom