Pre GE2025 CHADEMA yaendelea kuiteketeza CCM Tanga, Hii hapa ni kata ya Makuyuni

Pre GE2025 CHADEMA yaendelea kuiteketeza CCM Tanga, Hii hapa ni kata ya Makuyuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO"

Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia umekwisha

Huu hapa ni Mkutano wa Chadema kwenye Kata ya Makuyuni ulioongozwa na Freeman Mbowe leo 04/07/2024

Screenshot_2024-07-04-18-57-59-1.png
Screenshot_2024-07-04-18-57-30-1.png
Screenshot_2024-07-04-18-57-21-1.png
Screenshot_2024-07-04-18-57-11-1.png
 
Ila braza kuna muda itakua hata wewe mwenyewe unapost unajikaza tu....unakua hauna namna.
 
Mmeenda kupiga nyumbani kabisa kwa ndugu yangu mzava...mna nongwa sana nyie.😂😂😂😂
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO"

Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia umekwisha

Huu hapa ni Mkutano wa Chadema kwenye Kata ya Makuyuni ulioongozwa na Freeman Mbowe leo 04/07/2024

View attachment 3033626View attachment 3033627View attachment 3033631View attachment 3033632
Tupo hapa wataporudi mvua zitanyesha utakuta hapo pamestawi na kushamiri kijani hizo ni shamra shamra za ujio wa helkopta kijijini!
 
Back
Top Bottom