Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AminaMungu bariki CHADEMA
Kwamba hii siyo Chadema ?Ila braza kuna muda itakua hata wewe mwenyewe unapost unajikaza tu....unakua hauna namna.
Umenielewa vema bro.....hili nalo litapita😹Kwamba hii siyo Chadema ?
Unajua hata Nyerere wakati akipigania Uhuru wa Tanganyika wapo waliomuona mjingaUmenielewa vema bro.....hili nalo litapita😹
Una umri gani?Kwaio apo ndio watu wamefurika?
Mie sijakuona mjinga bali shujaa unaeweza kujikaza kwa hali zoteUnajua hata Nyerere wakati akipigania Uhuru wa Tanganyika wapo waliomuona mjinga
AsanteMie sijakuona mjinga bali shujaa unaeweza kujikaza kwa hali zote
Lema yupo Lissu ana ratiba nyingineWako wapi Lisu na Lema?
Wapite wapiiiii! Mbio za sakafuni tu lo
Hata Ruto alifikiria kama weweWapite wapiiiii! Mbio za sakafuni tu lo
Basi Haya
Tupo hapa wataporudi mvua zitanyesha utakuta hapo pamestawi na kushamiri kijani hizo ni shamra shamra za ujio wa helkopta kijijini!Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO"
Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia umekwisha
Huu hapa ni Mkutano wa Chadema kwenye Kata ya Makuyuni ulioongozwa na Freeman Mbowe leo 04/07/2024
View attachment 3033626View attachment 3033627View attachment 3033631View attachment 3033632