Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema Makao Makuu imefungua semina elekezi kwa viongozi wake wa Kanda ya Nyasa, semina hiyo inasimamiwa na Dkt Aman Golugwa ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Tanganyika.
Pichani huyo Kiwete mwenye magongo ni Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chadema, John Pambalu aliyevunjwa mguu na Polisi wa Tanzania na baadaye kutupwa mbugani Bagamoyo ili auawe na wanyama. Bali kama tusemavyo mara zote kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu ndivyo ilivyotokea