PreGE2025 CHADEMA yaendesha Mafunzo kabambe kwa Viongozi wake wa Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema Makao Makuu imefungua semina elekezi kwa viongozi wake wa Kanda ya Nyasa, semina hiyo inasimamiwa na Dkt Aman Golugwa ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Tanganyika.



Pichani huyo Kiwete mwenye magongo ni Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chadema, John Pambalu aliyevunjwa mguu na Polisi wa Tanzania na baadaye kutupwa mbugani Bagamoyo ili auawe na wanyama. Bali kama tusemavyo mara zote kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu ndivyo ilivyotokea

 
Oktoba watatiki vijambio vyao ✅
 
Kiwete sio neno zuri. Sema " mwenye ulemavu ".

Amandla...
 
#octobertunatiki✅
 
#octobertunatiki✅
endelea kutiki ili watoto wa viongozi wawe mawaziri kama Riziwani, Nape, January, Mchengerwa na wengine, halafu wewe upewe kofia ya SSH na Fulana iliyopauka
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Huwa najiuliza je lissu angekuwa uraian?wanachofanya wauwaji na watekaji kutuchelewesha ukombozi.
 
Msajili anajiuliza pesa wanatoa wapi hawa?hapati jibu
😅
 
Nimependa ulipotumia naibu katibu mkuu "Tanganyika". Hakuna kitu kinachoitwa Tanzania bara.
 
MUNGU MWENYEZI AWABARIKI SANA NA KUWALINDA DAIMA,wapaza SAUTI kwa wasio na SAUTI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…