CHADEMA yaendesha Mafunzo kwa Viongozi wake, Profesa Mussa Assad awa Mkufunzi Mkuu

CHADEMA yaendesha Mafunzo kwa Viongozi wake, Profesa Mussa Assad awa Mkufunzi Mkuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba CHADEMA imefungua Mafunzo kwa lengo la kuwapiga Msasa viongozi wake

Screenshot_2025-03-12-17-10-09-1.png


Miongoni mwa Wakufunzi yumo CAG Mstaafu Alhaj Mussa Assad, Wakufunzi wengine ni Tundu Lissu na Dr Philbhert Kumu ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Screenshot_2025-03-12-17-17-44-1.png
Screenshot_2025-03-12-17-18-01-1.png
Screenshot_2025-03-12-17-17-31-1.png
Screenshot_2025-03-12-17-17-44-2.png
 
Hiki kizaz cha uongoz cha 1960s had 1980s hakina kipya sio cha upinzan wala chama tawala,akili zao znafanana .
 
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine.
FB_IMG_1741795973227.jpg
FB_IMG_1741795970644.jpg
FB_IMG_1741795967194.jpg
 
Back
Top Bottom