Pre GE2025 CHADEMA yafanya mkutano Moshi Mjini

Pre GE2025 CHADEMA yafanya mkutano Moshi Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbinu pekee ambayo CCM wanaweza kuitumia ili kushinda uchaguzi ni kumtumia Mtaalam wa kubadili matokeo Abdulrahman Kinana, kwenda kuiba kura, tena baada ya kuteketeza labda nusu ya Wakazi wake, bali kwa uchaguzi wowote ule, hata Msimamizi akiwa Jecha au Dkt. Mahera ccm haitoboi.

Tunajua Viongozi wengi wa CCM wanamdanganya sana Mwenyekiti wao Samia , ambaye haijui Tanganyika, kwamba ccm inakubalika, na yeye anadanganyika kirahisi, lakini kwa haya ya leo hapa Moshi Mjini ni dhahiri kwamba hapa hakuna ccm

Inauma sana kuona chama kilichotumia bunduki kushinda 2020 leo baada ya muda mfupi sana kiko hivi! Hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Screenshot_2024-07-11-17-48-39-1.png
Screenshot_2024-07-11-17-48-46-1.png
Screenshot_2024-07-11-17-48-52-1.png
 
Moshi mjini ni ngome ya CHADEMA kwa miaka mingi kwahiyo hii sio HABARI. Ni sawa na CCM wajisifie kuifuta CHADEMA Dodoma mjini ilipo ngome yake.
 
Back
Top Bottom