Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbinu pekee ambayo CCM wanaweza kuitumia ili kushinda uchaguzi ni kumtumia Mtaalam wa kubadili matokeo Abdulrahman Kinana, kwenda kuiba kura, tena baada ya kuteketeza labda nusu ya Wakazi wake, bali kwa uchaguzi wowote ule, hata Msimamizi akiwa Jecha au Dkt. Mahera ccm haitoboi.
Tunajua Viongozi wengi wa CCM wanamdanganya sana Mwenyekiti wao Samia , ambaye haijui Tanganyika, kwamba ccm inakubalika, na yeye anadanganyika kirahisi, lakini kwa haya ya leo hapa Moshi Mjini ni dhahiri kwamba hapa hakuna ccm
Inauma sana kuona chama kilichotumia bunduki kushinda 2020 leo baada ya muda mfupi sana kiko hivi! Hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!