Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele, hakuna yeyote atayesema hakuambiwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kituo kinachofuata na ambacho kimebahatika kupelekewa habari hii Muhimu kwa Mustakhabari wa Nchi ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Zaidi angalia Taarifa hii iliyosambazwa kote duniani