Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unazijua kazi za Katibu?Lisu hataenda kwa msajili kaingia mitini kanwachia Mnyika
Katibu sio mwakilishi wa chama nje ya ofisiUnazijua kazi za Katibu?
Barua ya wito ilikuwa addressed kwa kwa katibu siyo Mwenyekiti?Unazijua kazi za Katibu?
Ushauri wako umepokelewaNi jambo jema taarifa hii imfikie kila mtu.
Ushauri wangu, ili kuunganisha nguvu, kwa sababu ACT nayo imesema kuwa haitashiriki uchaguzi magumashi, vyama hivi visimame pamoja kwa kika hatua.
Baada ya Mutungi, taarifa hii ipelekwe rasmi kwa Rais Samia.
Baada ya kufikishiwa rasmi ujumve wa NO REFORM NO ELECTION, ujumbe upelekwe rasmi kwa Baraza la viongozi wa dini.
Baada ya viongozi wa dini, ujumbe ufikishwe kwenye balozi zote.
Yote hii ni kuhakikisha kuwa kama endapo kutatokea lolote baya, kusiwepo na wa kusema kuwa mimi sikufikishiwa taarifa rasmi, kama ningejulishwa ningeweza kufanya hiki au kile.
Muda wa Maridhiano waliuchezea, Umekwisha.Hapa inawezekana Msajili katumwa na Mama. Kwahiyo, msishangae Mama nae akawaia Magogoni siku si nyingi.
Nadhani bado yupo Angola kwenye ule mkutano wa vyama vya kidemokrasia duniani..Lisu hataenda kwa msajili kaingia mitini kanwachia Mnyika
Wewe ndio secretary wa chama unayejua barua za mwaliko zinamtaka nani? Au barua ya msajili unajua ilimualika nani?Katibu sio mwakilishi wa chama nje ya ofisi
Mwenyekiti ndie mhusika
Mbona kwenda Angola hakumwachia Mnyika aende ?
Kama ilikuwa addressed kwa Katibu ulitaka aende nani?Barua ya wito ilikuwa addressed kwa kwa katibu siyo Mwenyekiti?