Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.
Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.
Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.
Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.
Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.
Akidi haikutimia.Warudie kwa kuzingatia akidiKaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.
Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.
Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.
Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.
Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.
Plan B ni nini? Mbona huisemi?Kusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
@Masaju ? au mahakama za Koome? Za Masaju hamna kitu. All in all, let them try!Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.
Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.
Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.
Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.
Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.
Plan B ni nini? Mbona huisemi?
Tehetehe, chama cha siasa kimegeuka LawFirm.
Kuna wanachama Mwanza, Arusha na Mbeya watafungua mashauri soon kupinga shughuli za chadema, kutakuwa na kesi karibu 7
Hivi East Africa community Haina Mahakama? Ili kama hizo hazitendi haki kuwe na utaratibu wakuzipeleka kesi huko,au Mahakama ya Africa kazi yake Nini??...Kusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
Hivi East Africa community Haina Mahakama? Ili kama hizo hazitendi haki kuwe na utaratibu wakuzipeleka kesi huko,au Mahakama ya Africa kazi yake Nini??...
Mchungaji Malisa na Polepole wamempinga SAMIA ila naona Msajili kapiga ganzi utadhani anazalishwaKusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
Tuna magengeTatizo hatuna mahakama
Mahakama za simu mojaTuna magenge
Tayari hbr yao, wamekuwa chama cha mahakamaniKaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.
Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.
Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.
Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.
Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.
Wameshachanganyikiwa hao nyumbu, akili kisoda majinga hayoTehetehe, chama cha siasa kimegeuka LawFirm.
Kuna wanachama Mwanza, Arusha na Mbeya watafungua mashauri soon kupinga shughuli za chadema, kutakuwa na kesi karibu 7
Ila watu wa Mahakama wanajidhalilisha sana aiseeee. Sasa hivi hakuna tofauti ya hakimu/judge na Polisi aliyefeli form four..... wote akili sawa.Mahakama za simu moja
Hawa hawana utofauti na kina Lucas, Mwijaku, Mrisho mpoto na machawa wengineIla watu wa Mahakama wanajidhalilisha sana aiseeee. Sasa hivi hakuna tofauti ya hakimu/judge na Polisi aliyefeli form four..... wote akili sawa.
Ukiwakuta walivyochomekea na vinguo vya sagulasagula halafu wameagiza supu ya ng'ombe na chapati, utadhani watu wa maana kumbe matapeli tu