GE2025 CHADEMA yafungua shauri kupinga maamuzi ya msajili wa vyama kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Undeni y
Bahati mbaya sana kwa sasa hatuna mahakama bali genge la wahuni wanaojiita wasomi
Undeni mahakama yenu ndio itakubaliana na huo upumbavu wenu, mtanyooka tu mtakubali kutii sheria bila shuruti. Ht hivyo zaidi ya kufanya vituko nani atawasikia hiyo ndio imekuwa mikakati yenu mipya. Mlipewa ruhusa kuandamana mkaacha baada ya kuona hakuna anayewaunga mkono, mkaruhusiwa kufanya mikutano mlivyoona mwitikio ni mdogo mkaanza kueneza chuki, uchochezi, uasi, uhaini sasa mnashughulikiwa mnalialia nini? Nchi hii ina uongozi tena imara kweli kweli lazima muitii mamlaka iliyopo vinginevyo mtabaki kulialia.
 
Ila watu wa Mahakama wanajidhalilisha sana aiseeee. Sasa hivi hakuna tofauti ya hakimu/judge na Polisi aliyefeli form four..... wote akili sawa.

Ukiwakuta walivyochomekea na vinguo vya sagulasagula halafu wameagiza supu ya ng'ombe na chapati, utadhani watu wa maana kumbe matapeli tu

Ndiyo maana tunamhitaji rais mwenye kuyatambua mapungufu yaliyopo huko Ili aje kutunyooshea ya mahakamani tuishi sote kwa usawa na haki.

binti kiziwi anajua mahakamani haki haipo? Amefanya nini kupaweka sawa?

TAL anajua shida zilizopo mahakamani? Atashindwa kutunyooshea mambo?

Aachie mchuma binti kiziwi kwa Pilato, ni sehemu nyingine ambako ameshindwa kututendea haki.
 
Undeni y
Undeni mahakama yenu ndio itakubaliana na huo upumbavu wenu, mtanyooka tu mtakubali kutii sheria bila shuruti. Ht hivyo zaidi ya kufanya vituko nani atawasikia hiyo ndio imekuwa mikakati yenu mipya. Mlipewa ruhusa kuandamana mkaacha baada ya kuona hakuna anayewaunga mkono, mkaruhusiwa kufanya mikutano mlivyoona mwitikio ni mdogo mkaanza kueneza chuki, uchochezi, uasi, uhaini sasa mnashughulikiwa mnalialia nini? Nchi hii ina uongozi tena imara kweli kweli lazima muitii mamlaka iliyopo vinginevyo mtabaki kulialia.

"Futungo si watu wazuri."

Ninakazia:

"Polepole, dhidi yako na mkata switch, tutakuwapo kukusikiliza!"
 
Haya mashambulizi yote kuihusu CDM yalipangwa yakapangika - lengo ilikuwa ni kuifuta CDM katika uso wa Tanganyika na kutengeneza chama kipya kitakachokuwa mbadala wake.

Project hii imetumia raslimali nyingi za walipa kodi lakini cha ajabu imeshaelekeza shingo kibra.
 
Undeni y
Undeni mahakama yenu ndio itakubaliana na huo upumbavu wenu, mtanyooka tu mtakubali kutii sheria bila shuruti. Ht hivyo zaidi ya kufanya vituko nani atawasikia hiyo ndio imekuwa mikakati yenu mipya. Mlipewa ruhusa kuandamana mkaacha baada ya kuona hakuna anayewaunga mkono, mkaruhusiwa kufanya mikutano mlivyoona mwitikio ni mdogo mkaanza kueneza chuki, uchochezi, uasi, uhaini sasa mnashughulikiwa mnalialia nini? Nchi hii ina uongozi tena imara kweli kweli lazima muitii mamlaka iliyopo vinginevyo mtabaki kulialia.
******* wanaoongozwa na msagaji
 
Yaani msajili anatumika kufanya siasa za kishamba sana.
 
Undeni y
Undeni mahakama yenu ndio itakubaliana na huo upumbavu wenu, mtanyooka tu mtakubali kutii sheria bila shuruti. Ht hivyo zaidi ya kufanya vituko nani atawasikia hiyo ndio imekuwa mikakati yenu mipya. Mlipewa ruhusa kuandamana mkaacha baada ya kuona hakuna anayewaunga mkono, mkaruhusiwa kufanya mikutano mlivyoona mwitikio ni mdogo mkaanza kueneza chuki, uchochezi, uasi, uhaini sasa mnashughulikiwa mnalialia nini? Nchi hii ina uongozi tena imara kweli kweli lazima muitii mamlaka iliyopo vinginevyo mtabaki kulialia.
🌈 kaa kwa tulia. Mahakama ya simu moja imeshatulia.
 
Back
Top Bottom