Uvccm mfuu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2024
- 453
- 492
Kamwambia pididy maana wajinga wa ccm huko ndio size yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwambia pididy maana wajinga wa ccm huko ndio size yenu
Wafuas wa pididy toka lini mkawa na akiliGentleman relax,
Uchaguzi ni mchakato wa kisheria my friend,
mihemko, makasiriko ghadhabu na kutegemea kuhurumiwa kama ambavyo unafanya gentleman hiwezi kuleta mabadiliko yoyote.
ni vizuri kujipanga kwenye mambo haya. Asieweza kujaza fomu ya ugombeaji maana yake hachaguliki na hafai kua kiongozi wa wananchi 🐒
Ccm imejaa wapumbavu wala usihangaike nao.Itakusaidia nini kutetea upuuzi wa kudhulumu haki za watu au ndiyo huo uroho wa madaraka? Wewe kwenye akili yako unaamini kabisa kwamba wagombea wa upinzani wameshindwa kujaza fomu kweli! Waafrika ni viumbe wa ovyo kabisa hadi mtu unajiuliza sijui kwanini Mungu ametuumba!
Gentleman,Wafuas wa pididy toka lini mkawa na akili
Takataka wewe!Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,
sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? 🐒
sasa gentleman,Takataka wewe!
Chukueni hatua nyie CHADEMA. Kamateni mwenyekiti mmoja wa Tume iliyokuwa inasikiliza rufaa mumfanye kitu mbaya! Maneno matupu hayavunji mfupa!Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.
View attachment 3153064
Subiri kwanza niongee na mamako hapa! CCM hakuna mwenye akili hata mmoja! Hili mama nalo kuning'iniza mananihii tu!sasa gentleman,
mwana makasiriko mkuu mbona unaonyesha mihemko tu na huna pwainti hata moja?🤣
sasa gentleman,Ccm imejaa wapumbavu wala usihangaike nao.
waerevu wameshindwa kujaza fomu za kugombea uongozi uchaguzi wa serikali za mitaa dah 🤣Subiri kwanza niongee na mamako hapa! CCM hakuna mwenye akili hata mmoja! Hili mama nalo kuning'iniza mananihii tu!
Maridhiano yale bandia yamekufa.....poleni Chadema kwa kudanganywa.Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia kila mgombea akiwa ameandikiwa makosa hayo ambayo ni tofauti na makosa yaliyotajwa awali baada ya wao kuenguliwa.
View attachment 3153064
ushauri na majadiliano ya pwagu na pwaguzi ni vichekesho tu dah 🤣Chukueni hatua nyie CHADEMA. Kamateni mwenyekiti mmoja wa Tume iliyokuwa inasikiliza rufaa mumfanye kitu mbaya! Maneno matupu hayavunji mfupa!
Uliona kuna fomu moja mgombea kaandika 27.OCT.1971, wakakata jina lake eti hakuna mwezi unoitwa OCT.Wanao kosea ni chadema tu CCM wao hakuna alie kosea 😅 kuna matatizo huwa wanayatafuta wenyewe tu ipo siku
Hao ccm unawajua au unawasikia? Kuna mambo ya kipuuzi sana yanafanyika, hebu fikiria majina ya wanafunzi yanaingizwa kwenye list ya wapiga kuraFriends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,
sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? 🐒
Na wewe uliyeandika hapa unawezaje kujua kuwa fulani kakosea hapa au pale ikiwa na wewe umakini mdogo tu haunao!!??Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,
sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? 🐒
Kama unahisi hatoshinda unaogopa nini kumuruhusu agombee!!CCM nyie mnajua hamkunariki kwa wananchi hata kidogo.Wewe pamoja na Elimu yako ya chuo kikuu unajua vizuri Lakini kwa sababu ya njaa unapingana na ukweliFriends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,
sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? 🐒
Gentleman,Kama unahisi hatoshinda unaogopa nini kumuruhusu agombee!!CCM nyie mnajua hamkunariki kwa wananchi hata kidogo.Wewe pamoja na Elimu yako ya chuo kikuu unajua vizuri Lakini kwa sababu ya njaa unapingana na ukweli