LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wafuas wa pididy toka lini mkawa na akili
 
Ccm imejaa wapumbavu wala usihangaike nao.
 
Wafuas wa pididy toka lini mkawa na akili
Gentleman,
unawazungumzia waliberali sio 🀣

watu wa kutetea ufirauni, ndoa za jinsia moja na utoaji mimba ? akina makamu Mwenyekiti Taifa ambae pia kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, right?🀣
 
Chukueni hatua nyie CHADEMA. Kamateni mwenyekiti mmoja wa Tume iliyokuwa inasikiliza rufaa mumfanye kitu mbaya! Maneno matupu hayavunji mfupa!
 
sasa gentleman,
mwana makasiriko mkuu mbona unaonyesha mihemko tu na huna pwainti hata moja?🀣
Subiri kwanza niongee na mamako hapa! CCM hakuna mwenye akili hata mmoja! Hili mama nalo kuning'iniza mananihii tu!
 
Ccm imejaa wapumbavu wala usihangaike nao.
sasa gentleman,
mbona umejawa makasiriko na mihemko tu na huna mawazo mapya wala fikra mbadala?

mihemko hii useless ndiyo ilisababisha kwa kiasi kikubwa mkajaza fomu za kugombea uongozi vibaya..

nyie peaneni moyo kama pwagu na pwaguzi πŸ’
 
Subiri kwanza niongee na mamako hapa! CCM hakuna mwenye akili hata mmoja! Hili mama nalo kuning'iniza mananihii tu!
waerevu wameshindwa kujaza fomu za kugombea uongozi uchaguzi wa serikali za mitaa dah 🀣
 
Maridhiano yale bandia yamekufa.....poleni Chadema kwa kudanganywa.
 
Chukueni hatua nyie CHADEMA. Kamateni mwenyekiti mmoja wa Tume iliyokuwa inasikiliza rufaa mumfanye kitu mbaya! Maneno matupu hayavunji mfupa!
ushauri na majadiliano ya pwagu na pwaguzi ni vichekesho tu dah 🀣
 
Wanao kosea ni chadema tu CCM wao hakuna alie kosea πŸ˜… kuna matatizo huwa wanayatafuta wenyewe tu ipo siku
Uliona kuna fomu moja mgombea kaandika 27.OCT.1971, wakakata jina lake eti hakuna mwezi unoitwa OCT.
 
CCM imepoteza dira....sema ndio hakuna mbadala....poleni Watanzania...
 
Uchaguzi unasimamiwa na mshenzi mmoja ambaye aliwahi kutamka kuwa eti kwenye jimbo lake mpinzani hawezi kuwa hata mjumbe wa serikali ya kijiji.

Mchngerya ni shetani.
 
Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,

sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? πŸ’
Hao ccm unawajua au unawasikia? Kuna mambo ya kipuuzi sana yanafanyika, hebu fikiria majina ya wanafunzi yanaingizwa kwenye list ya wapiga kura
 
Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,

sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? πŸ’
Na wewe uliyeandika hapa unawezaje kujua kuwa fulani kakosea hapa au pale ikiwa na wewe umakini mdogo tu haunao!!??
"Ndrugu" ni nini!!?
 
Friends, ladies and gentlemen, tuwe wa kweli jamani saa zingine,

sasa mgombea kujaza fomu tu kashindwa, uchaguzi atashinda kweli ndrugu zangu? πŸ’
Kama unahisi hatoshinda unaogopa nini kumuruhusu agombee!!CCM nyie mnajua hamkunariki kwa wananchi hata kidogo.Wewe pamoja na Elimu yako ya chuo kikuu unajua vizuri Lakini kwa sababu ya njaa unapingana na ukweli
 
kwenye mambo halisi unatembea na hisia gentleman? 🀣

mtu kakosea hadi kuandika jina lake au alikua anaandika kwa hisia?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…