LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
We nyumbu ndio mpuuzi unatetea usilojua. Tuliza tako fanya mambo yako. Si waafrika we ndio wa hovyo
 
Na wewe uliyeandika hapa unawezaje kujua kuwa fulani kakosea hapa au pale ikiwa na wewe umakini mdogo tu haunao!!??
"Ndrugu" ni nini!!?
wasiofuata taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi kwenye uchaguzi hastahili kupewa fursa ya uongozi.
Vigezo na masharti ya kisheria Lazima vizingatiwe..

itakua ni kunajisi katiba ya nchi kuruhusu makosa ya makusudi kwa wasio na sifa πŸ’
 
Chadema sijuhi wanawazaga nini???[emoji848][emoji848]
.
Unawezaje kuingia kwenye uchaguzi kwa katiba hii yani unategemea nn hapo daah??[emoji28][emoji28]
 
Hao ccm unawajua au unawasikia? Kuna mambo ya kipuuzi sana yanafanyika, hebu fikiria majina ya wanafunzi yanaingizwa kwenye list ya wapiga kura
wagombeaji uongozi wa vyama vyote wanaoshindwa kutimiza vigezo na masharti ya kisheria kwa kukosea mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujaza fomu waenguliwe tu..

hayo mengineyo ni porojo na story za kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbdala, hayana maana gentleman πŸ’
 
Wakome
 
Eti Nchimbi anadai Tamisemi ipuuze makosa madogo madogo wakati anajua ni sheria Haina fursa ya kuipuuza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chadema Huwa wanakurupuka na hawajiandai mapema harafu wanakuja kutafuta visingizio vya kijinga
 
We nyumbu ndio mpuuzi unatetea usilojua. Tuliza tako fanya mambo yako. Si waafrika we ndio wa hovyo
Jaribu kuwa mstaarabu, niliyemjibu tumebishana bila kutukanana kwahiyo tafadhali tuheshimiane kwa sababu hata mimi matusi nayaweza.
 
Yanayotokea DSM ndiyo hayohayo yaliyopo nchi nzima!
Haya ni maelekezo kutoka juu kabisa tutambue hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…