Pre GE2025 Chadema yahutubia Umati Mkubwa Ileje

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka pembe zote, Bila kujali kutekwa Viongozi wa Chama hicho wameendelea kupiga Spana bila huruma.

Ileje ni miongoni mwa maeneo yaliyopuuzwa kabisa kwa miaka mingi.

Rose Mayemba aliongoza Mashambulizi



Kivutio kikubwa alikuwa Gwamaka Mbhughi aliyekulia na kulelewa kwenye vijiji hivyo, Huyu alikuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa

 
Kwa haraka haraka wako 84
 
Mungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote❤❤❤
 
Kwanini ileje yenye wakazi mia moja isiwe temeke!
 
Mungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote
Kwa haraka haraka wako 84
Ok sasa hesabu taratibu
 
Safi Sana na hongera chadema, Viongozi waandamizi chadema tawanyikeni matawini, mkatangaze sera zenu, kwa muda huu mfupi uliobaki, badala ya kulumbana na Jemedari #Msigwa, mnazubaishwa kipumbavu kabisa, hata mkifungua kesi, kesi hiyo itawatoa kwenye mstari katika kutangaza sera zenu ukizingatia wana chadema ni by nature wapenda kesi
-CCM Tunawapenda sana chadema, kwa upendo wa kweli wa dhati.
 
Msigwa hawezi kumzubaisha yoyote
 
Kuzaliwa sehemu teyari ni kivutio kwenu????
Kavutia wataliii wangapi na mmeingiza US Dollar ngapi???
 
Msigwa hawezi kumzubaisha yoyote
Casephobia ndicho kitakachowazubaisha ninyi chadema wenyewe!,, Madeleka anangojea michango yenu kwa humu kubwa sana, anakiu kali sana!
 

Attachments

  • GW3s2HZW4AAb_qu.jpeg
    64.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…