Pre GE2025 Chadema yahutubia Umati Mkubwa Ileje

Pre GE2025 Chadema yahutubia Umati Mkubwa Ileje

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safi Sana na hongera chadema, Viongozi waandamizi chadema tawanyikeni matawini, mkatangaze sera zenu, kwa muda huu mfupi uliobaki, badala ya kulumbana na Jemedari #Msigwa, mnazubaishwa kipumbavu kabisa, hata mkifungua kesi, kesi hiyo itawatoa kwenye mstari katika kutangaza sera zenu ukizingatia wana chadema ni by nature wapenda kesi
-CCM Tunawapenda sana chadema, kwa upendo wa kweli wa dhati.
Kuna chadema yoyote iliyomfungulia kesi msigwa,au unaota?
 
Kuna chadema yoyote iliyomfungulia kesi msigwa,au unaota?
Waeleze watambue hilo mapema, always Mawakili shughuli zao ni mahakamani,na ndiko riziki zao wanakopatia, mbowe apuuze maneno ya Msigwa, wajisahihishe wasonge mbele!
 
Back
Top Bottom