Safi Sana na hongera chadema, Viongozi waandamizi chadema tawanyikeni matawini, mkatangaze sera zenu, kwa muda huu mfupi uliobaki, badala ya kulumbana na Jemedari #Msigwa, mnazubaishwa kipumbavu kabisa, hata mkifungua kesi, kesi hiyo itawatoa kwenye mstari katika kutangaza sera zenu ukizingatia wana chadema ni by nature wapenda kesi
-CCM Tunawapenda sana chadema, kwa upendo wa kweli wa dhati.