CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

Si kyela tu, wananchi wakiamua wanaweza kuiondoa CCM madarakani. Watanzania tuseme sasa ni mwisho wa hawa mafisadi wa ccm kututawala. 2010 tuwaonyeshe kuwa waliyo fanya tumesha yajua na sasa hatudanganyiki ng'o.
 
He he heeeee ....... Minyakyusa bwana!!!!! Heri sisi wa Sikonge tuna Mbunge aliyekaa kama Hitler vile. Halafu JF tupo wanne tu........

Mkuu una uhakika gani mko wanne tu? inawezekana kuna wengine kama mimi ambao hujawatambua
 
hivi kwa nini Wanyakyusa mnagombana wenyewe kwa wenyewe? Naona humu JF kuna extension ya makundi yale yale ya Kyela. Inanisikitisha sana kuona mmeamua kujimaliza wenyewe bila kujijua maana hao mnaowatetea kwa kupitia migongo ya Mwakyembe na RC MBY ni watu wa Arusha na Igunga. Wake up ninyi Wanyakyusa. JF mkiwa watu wa kutumia busara mngetumia huu uwanja kutafuta mbinu za kumaliza vurugu/fitina/majungu/na uroho wa pesa chafu mjini Kyela. It is sad kwa kweli.
 
Hapa ni uzushi mtupu kwani kyela kuna vitongoji vingapi? na CCM imesambaratishwa kivipi? Unamaanisha chadema wameikamata Kyela?.Tupe jumla ya vitongoji vilivyochukuliwa na CCM na vile vilivyochukuliwa na chadema. KUshindwa kwa mpambe wa Mwakyembe katika kitongoji ndio kushindwa kwa Mwakyembe?. Hapa ni kujifariji tu. Umejaa uzushi mtupu.

Kweli wewe huijui Kyela, labda ni wale wale wa mpaka kupiga simu.

Rhoda Mwamunyange anataka kugombea ubunge kupitia UWT na tayari anaunganisha nguvu na kundi moja hapa.

Kyela kuna wengi tu wanataka kugombea na tunawakaribisha wote, ila mchuano mpaka sasa ni wa Mwakyembe na Mwakalinga.

Wewe unafikiri uongozi ni kuwa balozi tu? Endelea kuota ndoto hivyo hivyo.
 
Mkuu,

Vipi zile habari zako fake za vikao vya NEC unaona hazitoshi na unaanza kuingilia na Kyela?

Sisi hatuhitaji kupiga simu kujua yanayotokea Kyela, tunayaona yakitendeka. Utashangaa sana mwaka huu na hao wapiganaji wako.

Mpigia simu huyo rafiki yako Mwakyembe na mwulize mbona anashindwa hata kusalimiana na majirani zake?

Vinginevyo ya Kyela niachie mimi engineer wa Majungu according to Masanilo (aka Ze Comedy_ niendelee kuwaletea za jikoni.

Buchanan,

Hii habari mbona niliileta siku ile ile ya uchaguzi?

1.
mheshimiwa aliweka wapambe wake .....akafanya kampeni ya wiki nzima.

2.
ikaweka mkakati wa kuwatungua hao wapambe wote wa Mwakyembe.

3.
kundi likawaunga mkono.

4.
Wao wanasema lengo lilikuwa kumpa kipigo mbunge

5.
pia kuwatisha madiwani wachache ambao bado wanamuunga mkono Mwakyembe

6.
wajiandae kupoteza nafasi zao kama wataendelea kumshabikia huyo msanii.

7.
hata kitongoji anakotoka Mwakyembe (Ikolo) nacho kikatekwa.

8.
Kilumbu, ambaye ndiye mfuasi mkubwa wa Mwakyembe aliangushwa na mzee mmoja mganga wa kienyeji.

9.
Ukiwa karibu na mwakyembe hapa Kyela kwasasa jua kitumbua chako kisiasa kiko hataraini.

10.
Mimi naona alifanya makosa makubwa sana kuweka wapambe wake

11.
maana hii imeonyesha watu wengi kwamba Dr ni weak

12.
waliokuwa wanamuunga mkono, taratibu wanaanza kutafuta namba za Mwakalialinga ili wamsalimie.

13.
Hizo ndio siasa za Kyela.



- Mungu azidi kuwabariki wanachi wa kyela, maana kama hizi ndio siasa za huko basi wana safari ndefu sana kufika wanakokwenda.

- Mkuu unazidi kumchafua Mwakalinga, hivi ni lini utakubali kujiweka kando naye?

Respect.


FMEs!

 
Kweli wewe huijui Kyela, labda ni wale wale wa mpaka kupiga simu.

Rhoda Mwamunyange anataka kugombea ubunge kupitia UWT na tayari anaunganisha nguvu na kundi moja hapa.

Kyela kuna wengi tu wanataka kugombea na tunawakaribisha wote, ila mchuano mpaka sasa ni wa Mwakyembe na Mwakalinga.

Wewe unafikiri uongozi ni kuwa balozi tu? Endelea kuota ndoto hivyo hivyo.

- Finally unaongea sense, sasa watumieni hawa vichwa wawili wawasaidie huko Kyela, badala ya kutumiza vichwa hapa JF na ngonjera za Yanga na Simba, enough!

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom