CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

Si kyela tu, wananchi wakiamua wanaweza kuiondoa CCM madarakani. Watanzania tuseme sasa ni mwisho wa hawa mafisadi wa ccm kututawala. 2010 tuwaonyeshe kuwa waliyo fanya tumesha yajua na sasa hatudanganyiki ng'o.
 
He he heeeee ....... Minyakyusa bwana!!!!! Heri sisi wa Sikonge tuna Mbunge aliyekaa kama Hitler vile. Halafu JF tupo wanne tu........

Mkuu una uhakika gani mko wanne tu? inawezekana kuna wengine kama mimi ambao hujawatambua
 
hivi kwa nini Wanyakyusa mnagombana wenyewe kwa wenyewe? Naona humu JF kuna extension ya makundi yale yale ya Kyela. Inanisikitisha sana kuona mmeamua kujimaliza wenyewe bila kujijua maana hao mnaowatetea kwa kupitia migongo ya Mwakyembe na RC MBY ni watu wa Arusha na Igunga. Wake up ninyi Wanyakyusa. JF mkiwa watu wa kutumia busara mngetumia huu uwanja kutafuta mbinu za kumaliza vurugu/fitina/majungu/na uroho wa pesa chafu mjini Kyela. It is sad kwa kweli.
 

Kweli wewe huijui Kyela, labda ni wale wale wa mpaka kupiga simu.

Rhoda Mwamunyange anataka kugombea ubunge kupitia UWT na tayari anaunganisha nguvu na kundi moja hapa.

Kyela kuna wengi tu wanataka kugombea na tunawakaribisha wote, ila mchuano mpaka sasa ni wa Mwakyembe na Mwakalinga.

Wewe unafikiri uongozi ni kuwa balozi tu? Endelea kuota ndoto hivyo hivyo.
 




- Mungu azidi kuwabariki wanachi wa kyela, maana kama hizi ndio siasa za huko basi wana safari ndefu sana kufika wanakokwenda.

- Mkuu unazidi kumchafua Mwakalinga, hivi ni lini utakubali kujiweka kando naye?

Respect.


FMEs!

 

- Finally unaongea sense, sasa watumieni hawa vichwa wawili wawasaidie huko Kyela, badala ya kutumiza vichwa hapa JF na ngonjera za Yanga na Simba, enough!

Respect.


FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…