Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Nani huyoNarudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!
Nani huyoNarudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!
View attachment 3285318
Kama kawaida, baada ya Tonetone kufeli sasa wanakamua watia nia. Taarifa za ndani zinasema wagombea urais wanapaswa kuchangia kwa lazima Tsh 5,000,000 (Milioni 5), wa ubunge 3,000,000 (milioni 3) na wa udiwani milioni 1.
Hii ni kwa sababu bila Mbowe chama hakina fedha. Watia nia wengi waliokuwa wameishatangaza nia ndani ya chama wanasema hawatakeenda kwenye kikao maana hata hivyo mwenyekiti Lissu anasema hapatakuwa na uchaguzi.
Mnataka kumuua tena?Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!
Hakika..WATIA NIA ndio wanatakiwa wawe VIONGOZI ktk harakati za kushinikiza REFORMS ili uchaguzi uwe wa HAKI.
..kushiriki ktk harakati hizi kunakwenda kuwajengea watia nia uhalali mbele ya wananchi watakaokwenda kuwapigia kura ikiwa kutakuwa na Reforms, na Uchaguzi.