Boniface Mwakola
Member
- Sep 13, 2024
- 76
- 39
Nasikia wamejitahidi nchi nzima wamepata wenyeviti wanne tuu nchi nzima kwakweli wamejitahidi sanaKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe, atakiongoza kikao hicho, na kauli rasmi itatolewa baada ya kikao kumalizika.
Wewe taahira. Ungekuwa na akili japo kidogo ungeishughulisha akili yako kidogo, nchi ifanyeje kuepukana na hawa mashetani wa CCM wanaopora maamyzi ya wananchi na wanaoua watu kwaajili ya vyeoHiki chama bwana kama kikundi fulani hivi cha wahuni waliojichokea maisha kisha kuungana kurudi kwenye Maisha
Mungu Ibariki CHADEMAKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe, atakiongoza kikao hicho, na kauli rasmi itatolewa baada ya kikao kumalizika.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI- JK NYERERETWENDENI JAMANI.
Yana tija kwao, na hilo linatoshamavikao yasiyo na tija wala maana yayote. Ni busara hata kuyafanya kimya kimya tu 🐒
Bora Mungu akunyime vyote ,ila akili akupeHiki chama bwana kama kikundi fulani hivi cha wahuni waliojichokea maisha kisha kuungana kurudi kwenye Maisha
Wapuuzi kabisa mm vikao kila ckuKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe, atakiongoza kikao hicho, na kauli rasmi itatolewa baada ya kikao kumalizika.
Ulitaka waende Lumumba kusherehekea ushindi ndugu.Wapuuzi kabisa mm vikao kila cku
Wanao tetewa hawajielewiWaache siasa za mitandaoni waingie mtaani kutafuta wanachama Kama wako serious.
mpuuzi baba yako kama matusi ni mazuriWapuuzi kabisa mm vikao kila cku
"KWA KUTUMIA AKILI KUBWA"CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI- JK NYERERE